Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
- Thread starter
- #2,161
DAR ES SALAAM: KIKOSI cha Usalama Barabarani kimetangaza kuwa kuanzia wiki ijayo wakati shule zikifunguliwa, dereva wa bodaboda atakayebeba mtoto chini ya miaka tisa, atachukuliwa hatua za kisheria yeye na mzazi.
-
Sambamba na hilo, pia kimetangaza magari maalumu ya kubebea wanafunzi ambayo hayajafanyiwa ukaguzi hadi kufikia wiki ijayo wakati shule zinafunguliwa, yatafungiwa.
-
Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani nchini, Ramadhan Ng’anzi ametoa maagizo hayo wakati akizungumza na HabariLEO kuhusu usalama wa watoto barabarani wakati shule zikifunguliwa kuanza muhula wa kwanza wa masomo 2024.
-
“Wazazi wanaotumia bodaboda kuwapeleka na kuwarudisha shule watoto wao, wahakikishe watoto hao wana umri wa miaka tisa na kuendelea kama ana umri chini ya huo ampandishe bajaji.
-
“Akipanda bajaji ahakikishe hawajazani, na tukikuta mtoto wa chini ya miaka tisa amepakiwa kwenye bodaboda, mzazi na dereva wa bodaboda watachukuliwa hatua za kisheria,’’ amesema Kamanda Ng’anzi.
-
Pia amewataka madereva walioaminika kubeb