Maandiko yanatuasa sote kabla ya anguko mwanadamu hujikuza na baada ya anguko mwanadamu hukumbatia unyenyekevu.
Tumpe Bashite miaka mingapi kabla hatujamalizana naye kwenye wigo la siasa za bongo?
Tunasema tunampa miaka 2 akivuruge na maadui zake watasahau tofauti zao na watamshughulikia naye atatimuliwa once and for all.