Maoni yangu binafsi juu ya masuala mbalimbali yanayoendelea duniani

Maoni yangu binafsi juu ya masuala mbalimbali yanayoendelea duniani

Kwenye majukwaa wanajigamba wameruhusu kukosoa serikali lakini visasi viko palepale.

Ukikosoa serikali haswa huu mlo wao wa bandari hata leseni ya kujipatia kipato wanaipora huku bila haya wanasisitiza mkajiajiri.

Ukijiajiri wanakuja kukupora hiyo ajira ili wao wale peke yao.
 

Attachments

  • PSX_20231027_145437.jpg
    PSX_20231027_145437.jpg
    182.9 KB · Views: 2
Maandiko yanatuasa sote kabla ya anguko mwanadamu hujikuza na baada ya anguko mwanadamu hukumbatia unyenyekevu.


Tumpe Bashite miaka mingapi kabla hatujamalizana naye kwenye wigo la siasa za bongo?

Tunasema tunampa miaka 2 akivuruge na maadui zake watasahau tofauti zao na watamshughulikia naye atatimuliwa once and for all.
 

Attachments

  • b936e4af846942698d5efdd6ec2cf8b3_A247EE3E2C96FF4B02F017A7340866A4_video_dashinit.mp4
    3.1 MB
Back
Top Bottom