Maoni yangu binafsi juu ya masuala mbalimbali yanayoendelea duniani

Maoni yangu binafsi juu ya masuala mbalimbali yanayoendelea duniani

Huwezi kuendelea na watendaji kwenye baraza la mawaziri ambao hawakerwi na ufisadi bali wanajitahidi kutafuta maelezo ya kuhalalisha na kuashiria mwakani taarifa ya CAG itakuwa mbaya zaidi kama hawa mawaziri mizigo wataendelea kuhudumu kwenye nafasi zao
 
Mchango wa jana wa profesa Kitilya Mkumbo na majibu aliyopewa na spika na Halima Mdee yamethibitisha ana upeo finyu sana na sasa tumeanza kuelewa utetezi wake wa DP WORLD pamoja na kulitumikia tumbo lake lakini haelewi kabisa athari za uwekezaji huo kwa taarifa hili
 
Haiwezekani profesa mzima ujigambe umeisoma taarifa yote ya CAG lakini hujaona kama watendaji wamegundua mbinu za kuufuata utaratibu wa kiuhasibu ili kulinda maovu yao na ukadai mtoa taarifa alikiuka kanuni ya 71 na hivyo alisema uongo.
 
Unapokuwa waziri wa mipango na uwekezaji ambaye asomapo taarifa anadhani kaielewa lakini katoka kapa basi ujue wewe una waziri mzigo.

Sasa taarifa za mipango mbalimbali anapopelekewa akisoma huwezi kuwa na imani kama kuna alichookota humo na hivyo humtegemei awe na la maana la kulishauri baraza la mawaziri
 
Bila ya hawa mawaziri 3 kuondolewa kwenye baraza la mawaziri basi tutegemee taarifa ya CAG ya mwakani iwe ni mbaya kuliko zote tangia tupate uhuru
 
Bunge linapaswa kutoa azimio la kukosa imani na mawaziri hawa 3: Profesa Kitilya Mkumbo, Nape Nnauye na Mwigulu Nchemba.

Ifike mahali kama kiongozi haonyeshi kukerwa na maovu kwenye jamii iwe ni sababu tosha ya kuachana naye maana anatoa taswira mbaya kwenye jamii
 
Tamko letu.

Tutakuwa tunafuatilia kwa karibu maazimio ya bunge juu ya taarifa ya CAG kuona kama hawa mawaziri watatu mizigo kama watashauri waondolewe kwenye baraza la mawaziri
 
Kama azimio la bunge litawalinda basi tutarajie taarifa ya CAG ya mwakani iwe ni mbaya kuliko zote tangu tupate uhuru
 
Tungependa kuchukua nafasi hii kumjibu Mwigulu Nchemba kuboresha utararibu wa ukaguzi pekee hauna maana kama huna mikakati ya kuzuia matukio ya namba hiyo kujirudiarudia
 
Pili, unapokuwa unatoa michango ya mambo mazito kama wizi na ubadhirifu wa mali ya umma acha kubeza kijuujuu nenda ukurasa kwa ukurasa vinginevyo taswira tuliyoiona hujali.

Jifunze kwa Ummy Mwalimu nyote watatu mlipokuwa mkichangia mada hakupiga meza kuwaunga mkono, alikuwa kainamisha kichwa chake chini.

Sasa huyu akitoka hapo bungeni hatuna shaka atajituma kupunguza maovu yaliyoainishwa kwenye taarifa ya CAG. Siyo ninyi mliokuwa mkiitupia madongo.

Kwa kifupi, kwenye hili tunampa Ummy maksi 100% za kujali masilahi ya umma na tunawapa nyie mizigo sifuri kwenye hili eneo
 
Mwisho tumemwona JK jr anagonga meza wakati hawa mawaziri mizigo wote watatu wakichangia mada akiashiria aidha haielewi athari zake au anaunga mkono ufisadi uendelee.

Tunasema hatafanikiwa kwenye ulingo wa siasa aanze kutafuta mkate wake kwingineko
 

New education policy implementation to kick off in 2024​

The CitizenNov 3, 2023 4:18 PM

What you need to know:​

The government has on Friday announced that it will begin implementing the new Education and Training Policy, 2023 edition, in January 2024.

The policy, which has been in the making for nearly four years, is expected to transform the country's education sector.
In a response to a question posed by Special Seats Member of Parliament Rose Tweve, the Minister for Education, Science, and Technology, Prof Adolf Mkenda, said that the new curriculum will be implemented gradually, starting in January 2024 and concluding in 2027.
The improved policy, which was developed after extensive consultations with stakeholders, emphasizes 21st-century skills such as communication, collaboration, creativity, and critical thinking.
 
It also aims to harmonize higher education with the country's priorities and labor market demands.

Prime Minister Kassim Majaliwa outlined the key changes to the education system in his address to Parliament on Thursday.

One of the most significant changes is the extension of compulsory education from seven to ten years.

Mr Majaliwa explained that the current system focuses too much on general education at the expense of tailored, practical education that aligns with evolving job market needs.


The new policy places a stronger emphasis on practical education, including technical and vocational training, starting with Form One.

Teacher education will now be offered to graduates who have completed Form Six and beyond, with one-year training under supervision.

The policy also aims to revamp the testing and evaluation system, focusing on the skills needed at each level and ensuring continuous assessment and a variety of testing methods to gauge students' progress in learning.

As the country prepares for this educational transformation, experts are advocating for a strategic, well-funded approach to ensure the successful execution of the policy.
 
Morning Prayer.

Lord, I pray for your strength as I face the challenges of this day.

I ask that you would give me the physical, emotional, and spiritual strength I need to overcome obstacles and to persevere through difficult moments.

I pray that I would be able to find my strength in you, and that I would be able to trust in your power to sustain me.

I trust in your goodness and love, and I know that you will give me the strength I need.

In Jesus' name, we pray. Amen.

Bible Verses to Read:

Psalms 119:105

Your word is a lamp for my feet, a light for my path.

- Sent from BitBible English App
 

View: https://youtu.be/Rzyc4yjLnHw?si=mx0LM0DrFSPQqM8i


This is probably Whozu best hit so far, and it is sad his artistic vision, independence and freedom is impeded by bureaucrats who knows absolutely nothing about music.

Contextualization of the content of the lyrics clearly without a shred of doubt narrates the plight of women in Tanzania.

It is preposterous for BASATA to bury their head under the sand pretending societal vices are fairy tales.

Music is an inquisition of societal controversies and failure of BASATA to comprehend this will ultimately hinder artistic vision, independence and freedom are golden keys to development of any industry.


We now say BASATA hostile and negative attitude towards musical expressions are posing a serious threat to development of this industry which in itself portend omen to current and future musicians survival in the vagaries of the industry
 
MATCH FIXING HIGHLY SUSPECTED BETWEEN SIMBA vs YANGA...And, here is our considered reasoning.

Betting ndiyo mfadhili mkuu wa mpira Tanzania. Unapoona mechi iko kwenye Jackpots za betting ujue wana sababu za kuiweka. Simba ni timu bora zaidi ya Yanga kwa hiyo harufu kali ya kupanga matokeo haikwepeki ili wanaocheza waliwe 😛😛😛😛😛😋😋😋😋
 

Attachments

  • PSX_20231105_191815.jpg
    PSX_20231105_191815.jpg
    74 KB · Views: 2
Back
Top Bottom