Maoni yangu binafsi juu ya masuala mbalimbali yanayoendelea duniani

Maoni yangu binafsi juu ya masuala mbalimbali yanayoendelea duniani

Hii sheria haitekelezeki.

Watasubiri sanaaaaaaa wapelekewe umbeya na pia hiyo faini wanakula yote wenyewe kuthibitisha wana upeo mdogo.


VPN huwezi kuizuia na hubadilisha ip address kila sekunde sasa sijui unaisajili iwe nini.

Tunachoona ni upeo finyu wa wote waliojihusha na huu upotolo.

Badala ya kushughulika na mambo ya maana kama kuongeza uzalishaji wa nishati mnabakia na mambo yasiyotekelezeka!
 

Attachments

  • PSX_20231014_231013.jpg
    PSX_20231014_231013.jpg
    245.4 KB · Views: 5
Kumbe kilichomzuia Dr. Salim kuwania Urais 1995 ilikuwa hofu ya Wazanzibara kufululizana tatizo alipojitokeza 2005 akakuta nchi na siasa zimebadilika!
 

Attachments

Back
Top Bottom