Maoni yangu binafsi juu ya masuala mbalimbali yanayoendelea duniani

Maoni yangu binafsi juu ya masuala mbalimbali yanayoendelea duniani

Ninaamini
 

Attachments

  • 1700379744521.png
    1700379744521.png
    383.7 KB · Views: 4
Morning Prayer.

Dear God, I thank you for another day of life.

I am grateful for the opportunity to wake up and experience your love and goodness once again. I thank you for the blessings in my life, for the people who love me, and for the opportunities that lie ahead.

I pray that I would carry this attitude of gratitude with me throughout the day, and that I would always be mindful of your love and provision.

In Jesus' name, we pray.

Amen.

Bible Verses to Read:

Lamentations 3:23

They are renewed each morning— great is your faithfulness!

- Sent from BitBible English App
 
Atakumbukwa kwa kuwa kibaraka wa IMF na kuingiza nchi mkenge wa IMF.

Pia atakumbukwa kwa kumrithisha mkwe wake CDM na kuwa mkate wake binafsi.


MH EDWIN MTEI MZALENDO ALIYEIFANYIA MENGI TANZANIA MIAKA YA UHURU

Bi.Ngianaeli Ngekalio, alikuwa ni mama yake na Edwin Mtei, alikuwa ameolewa na Bw. Victor shambari Mtei ambaye alifariki mwaka 1928. Bw. Victor alikuwa akiishi jirani kabisa na binamu yake aliyeitwa Bw. Eliapenda Ngapanyi Mtei. Baada ya Bw. Victor kufariki, Bw. Eliapenda akawa akifika mara kwa mara nyumbani kwa mama yake Mtei kumfariji na kumsaidia kazi mbalimbali kwani aliachwa na watoto wawili. Matokeo ya ziara hizo za kumfariji ikatokea mama huyo kupata ujauzito wa binamu yake Victor ,Mume wa mama yake Mtei.

Edwin Mtei alizaliwa asubuhi ya siku ya Jumanne, tarehe 12.7.1932 baba yake akiwa ni Bw. Eliapenda Ngapanyi Mtei. Siku hiyo, mama yake akiwa mjamzito na akiwa na rafiki na jirani yake, Bi. NdeambIliasia, waliamka asubuhi sana na kwenda eneo la Rawuya kwenye shamba la mahindi na maharage lililokuwa kilometa 8 toka Marangu. Baadae asubuhi hiyo, Bi. Ngianaeli akajifungua mtoto Edwin na mchana akarejea nyumbani huku kijana Mtei akiwa amebebwa na Bi. NdeambIliasia. Wanawake enzi hizo walikuwa ngangari.

Bw. Eliapenda Ngapanyi Mtei, baba yake, hakutaka kabisa ijulikane kuwa mtoto Edwin ni mwanae kwani mwanzoni mwa mwaka huo mwaka 1932, alikuwa amefunga ndoa na Bi. Lucy Mawolle. Vivyo hivyo, mama yake nae alifanya siri sana na hakupenda watu wajue kuwa Edwin ni mtoto wa Bw. Eliapenda Ngapanyi Mtei, ingawa baba huyo alikuwa akipeleka matunzo.

Mtei alisoma shule ya chekechea ya Ngaruma Lutheran Church, mwaka 1941 akiwa na miaka nane. alikuwa akitoka shule anakwenda kuchunga mbuzi na maisha yao yalikuwa ya kubangaiza na ya kifukara sana huku wakiishi kwenye nyumba ya majani. Mwaka 1943, alihamia Marangu Native Authority Primary School ambako alisoma na Wilbert Kleruu aliyekuwa anatoka umbali wa kilometa 10 kwenda na kurudi kila siku. Bw. Kleruu alikuwa ni mwenye kiu kubwa ya elimu. Baadae akawa mmoja wa watanganyika wa mwanzo kuwa na PHD na akawa Mkuu wa Mkoa wa Mtwara na Iringa, kabla ya mkulima Said Mwamwindi kumuua kwa gobole tarehe 25.12.1971.

Mtei alifanya mtihani wa darasa la IV, Exams for Nothern Province mwaka 1944. Matokeo yalitangazwa na Mkuu wa Shule mzungu, G.W. Ginner wa Old Moshi Secondary School Januari, 1945. Mtei akashika namba moja na hivyo kuitwa kujiunga na Old Moshi.
Tarehe 31.1.1945, Mtei akafika shuleni hapo na kupokelewa na Mwalimu Erasto Mang'enya aliyekuja kuwa Waziri na Spika wa Bunge. Shuleni hapo alisoma na Bw. Cleopa Msuya, aliyekuja kuwa Waziri Mkuu na Bw. Herman Serwatt, mbunge pekee aliyekuja kuishinda TANU, Daniel Mfinanga aliyekuja kuwa Balozi, Bw. Solomon Eliufoo na Bw. Israel Elinawinga waliokuja kuwa Mawaziri na Wilbert Kleruu.

Mwaka 1946 kulikuwa na mtihani wa taifa wa darasa la VI kwa nchi nzima ili kwenda darasa la VII. Kwavile Mtei alifiwa na baba yake Mei 1945, ambaye alikuwa akimsaidia kulipa karo, ikawa ni shida Hata hivyo, kwavile Mtei alikuwa amefaulu mtihani maksi za juu, ikabidi Mkuu wa shule amnusuru na kufanya kitu kisicho cha kawaida kwa kuwaandikia Machifu wa Kichaga wamsaidie. Mwezi Octoba 1950, Mtei alifanya "STD X Territorial Exams"na kufaulu vizuri sana na akachaguliwa kujiunga na Tabora Boyz Secondary School. Januari 1951 'akapanda treni kwenda shule yake mpya ambako alipokelewa na Mkuu wa shule, John Crabbe, na akakutana na wanafunzi wengine akina Geofrey Mmari, aliyekuja kuwa Vice Chancellor,wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam, Oscar Kambona na job Lusinde waliokuja kuwa Mawaziri na Mark Bomani aliyekuja kuwa Mwanasheria Mkuu wa Tanzania.

MTEI alikuwa si mtu wa kawaida kwani kwa miaka miwili mfululizo akiwa shuleni hapo, mwaka 1952 na mwaka 1953, alishika nafasi ya kwanza darasani licha ya kusoma na utitiri wa wenye vipaji maalum!. Mtei, licha ya kuwaongoza wenzake darasani, alikuwa ni "kiboko wa kuongea kiingereza kwa ufasaha, na mkali wa midahalo shuleni hapo. Hii ilipelekea mwishoni mwa mwaka 1952, Mkuu wa shule J. Crabbe aliandika kwamba; Edwin Mtei ndiye mwana mdahalo bora..

Mwezi Octoba 1952, Mtei akafanya mtihani wa "Cambridge Overseas School Certificate Exams"Huu ulikuwa ni mtihani kwa wanafunzi wa Tanganyika, Kenya na Uganda. Mtei 'aliipasua pepa' hii kwa si tu kupata ufaulu wa Daraja la Kwanza, bali pia yeye ndiye alikuwa Mwanafunzi Bora Tanganyika, Hivyo akachaguliwa kwenda kusoma Chuo Kikuu cha Makerere, Uganda ambako alikutana na watanganyika wengine akiwepo Paul Sozigwa.

Mtei aliendelea na moto wake ambapo mwaka 1956, kulikuwa na mashindano ya kuandika "Essay" ya Historia iliyojumuisha nchi nyingi ambapo Mtei aliibuka mshindi na kupewa kabati lililojaa vitabu vyenye thamani ya Paundi 200. Mwaka 1957, Mtei alifanya mtihani wa mwisho wa kumaliza Chuo na kufaulu vizuri na kukabidhiwa shahada na kisha akarejea nchini. MTEI alikutana na Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam kwa mara ya kwanza mwaka 1959 baada ya kupelekwa na rafiki yake, Mwanjisi. Mwalimu alimwambia Mtei kuwa ipo siku wakoloni wataondoka na Watanganyika watajitawala wenyewe.

Baada ya kuona Tanzania hamna dili kwani Serikali ya kikoloni haikumpa kazi yoyote akaamua kuelekea zake nchini Kenya. Mwezi Agost mwaka 1964, Mwalimu alimteua Mtei kuwa Katibu Mkuu Wizara ya fedha. Mh. Mtei akafanya jambo la kizalendo kwa kuhakikisha kampuni ya kizalendo ya MECCO inapewa kandarasi ya kujenga Benki Kuu ya Tanzania..

Mwanzoni mwa mwaka 1965, nchi za Tanzania, Kenya na Uganda zilikubaliana kila nchi itoke kivyake kwani hakukuwa na dalili ya kuwa na Muungano, Mwalimu akamteua Mtei kuwa Gavana mteule mwezi Octoba mwak 1965. Majukumu yake makubwa yalikuwa kutayarisha fedha ya Tanzania, kushughulikia sheria ya kuundwa Benki Kuu, kuajiri wataalamu na kuandaa mafunzo sahihi ya wafanyakazi wazalendo. Baadaye, Mwalimu akamteua Mh. Mtei kuwa Gavana wa Benki kuu..

Mh. Mtei akiwa Gavana mdogo kuliko wote katika historia ya TZ(34) aliibukia Marekani alikomkuta Bw. Daudi Balali akisoma Chuo Kikuu cha Howard. Mtei alivutiwa sana na uwezo mkubwa wa Balali akamshauri asomee masomo yanayoendana na Benki kuu. Baada ya kumaliza chuo, Mh. Mtei akamwajiri BalaliI Benki Kuu na akawa kijana hodari sana. Mh. Mtei pia alimuibua Daniel Yona na kumuajiri pia. Baadaye, Mwalimu alimchukua Yona ili kwenda kuongoza benki ya THB baada ya Mh. Mtei kumsifia sana.

Mwalimu aliamua kujipunguzia mshahara wake wa Shilingi elfu tano hadi Shilingi elfu nne na mia tano, kwani kulikuwa na tofauti kubwa. Mh. Mtei, ambaye yeye na Mwalimu tu ndio walikuwa wakilipwa pesa ndefu, alifanya uzalendo wa hali ya juu sana kwa kuamua nae kujipunguzia. Mh. Mtei angekuwa kama viongozi wengi wa sasa wanaojali matumbo yao tu, asingejipunguzia kwani Mkataba wake ulikuwa na kipengele mahsusi kuwa hakuna mamlaka yoyote iwezayo kumpunguzia.

Hii ikapelekea mishahara ya viongozi wengine nayo kupunguzwa.
Mwalimu alimteua Mh. Mtei kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Afrika Mashariki mwaka 1975 ambapo alihudumu kwa miaka miwili hadi mwaka 1977. Mwalimu alimteua Mh. Mtei kuwa Waziri wa Fedha mwezi Februari 1977. Mh. Mtei alikwenda Marekani kutafuta misaada. Hii ilikuwa baada ya hali kuwa ngumu kwani katika vita ya Kagera tulikuwa tukitumia $ 500,000 kwa mwaka mzima. Mh.Mtei akapewa masharti na IMF ya kushusha thamani ya shilingi na kurekebisha mashirika hohehahe ya umma, na aliporejea Mwalimu akayakataa masharti hayo ya IMF.

Tarehe 29.11.1979, Mh. Mtei aliupeleka Msasani ujumbe wa IMF uliokuwa ukiongozwa na Bw. Bo KarlStrom ili "kumuelewesha Mwalimu. Ujumbe huo, ukiwa Msasani, ulimwaga mwembwe zake ukiamini utakuwa umekonga moyo wa Mwalimu. Mwalimu alipoona Wazungu hao wanaongea upuuzi mtupu, alijifanya kama anajikuna, kisha, ghafla bin vuu, bila kuaga, akaenda nje nyuma ya nyumba karibu na baharini yaani bichi, akawa anapunga upepo na kuwaacha wazungu hao na mtei sebuleni.

Mh. Mtei akaona Kama liwalo na liwe tu hivyo akamfuata Mwalimu hukohuko bichi na kumuomba arudi. Mwalimu, akiwa amefura kwa hasira, akamwambia Mh. Mtei kuwa hawezi kuacha nchi yake ikiongozwa toka Washington. Mwalimu alisema, Mimi nikikataa kitu msimamo wangu unabaki pale pale, sitaki nigeuke Mnara wa chumvi. Waambie hao jamaa zako warudi makwao kwani nimewasikia ila sikubaliani nao.

Mh. MTEI alijaribu kumsihi Mwalimu arudi sebuleni japo awaage wageni ili kuwaonesha ukarimu wa Watanzania lakini Mwalimu hakutaka kuona pua wala sikio la mtu yeyote wa IMF!. Hivyo, Mh. Mtei kwa unyoonge akarudi sebuleni na kisha akaondoka na ujumbe wake. Mh. Mtei alikuwa amekasirishwa mno, hivyo akatoka haraka na gari yake hadi Wizarani. Alipofika tu huku akitweta, akaandika kwa mkono barua ya kujiuzulu na kuiweka juu ya meza ili Jumatatu, Katibu Muhtasi akija aichape.

Mh. Mtei, baada ya kuandika barua hiyo, aliamua kuwasiliana na Waziri wa Kilimo, Mh. John Malecela, juu ya dhamira yake hiyo ambapo Mh. Malecela alistuka sana!. Mh. Malecela akamweleza kuwa mmiliki wa Tanganyika Plantation Company anataka kuiuzia Serikali kiwanda hicho kwa bei ya ubwete ila alipwe haraka kwanza Mh. Mtei alimjibu Mh. Malecela kuwa jambo hilo haliwezekani kwani nchi imefulia vibaya sana na kwamba aliishaliongelea hilo kwa Gavana Charles Nyirabu, kisha wakaagana, kila mmoja akaenda upande wke. Baadae kidogo, Mh. Mtei alipigiwa simu na Mh. Malecela kwamba wote wawili wanaitwa na Mwalimu Msasani hivyo wakaenda. Mh. Malecela alitaka kiwanda hicho kinunuliwe akiungwa mkono na Mwalimu, huku Mtei akisisitiza kuwa nchi haina fedha za kigeni.

Kikao kilipoisha, hasira ya Mh. Mtei ilikuwa ipo juu mno hivyo akakimbiza gari kwenda ofisini kwake kwa mwendo wa kasi,! Akaichukua ile barua aliyoandika kwa mkono akatoka nayo ofisini. Mh. Mtei, alipomaliza tu kushuka ngazi za Wizara ya fedha, akakutana na Bw. Bathao ambaye alikuwa msaidizi wa Mwalimu ambaye alimkabidhi barua toka kwa Mwalimu. Mh. Mtei, bila kuisoma, akaichukua na kuiweka ndani ya gari kisha akasaini Kitabu cha mapokezi na kuelekea Msasani.

Mh. MTEI alimkabidhi Mwalimu barua ya kujiuzulu na Mwalimu akaisoma kwa makini na utulivu kisha akamuuliza kama alikuwa ameisoma barua yake. Mh. Mtei alikiri aliipokea lakini hakuisoma kutokana na uharaka wa kwenda kumuona. Mwalimu akamkubalia Mh. Mtei kujiuzulu. Mwalimu alimuagiza Bw. Paul Sozigwa, Katibu wake, kuwa amekubali kujiuzulu kwa Mh. Mtei hivyo umma utaarifiwe hivyo.

Mwalimu na Mh. Mtei wakaagana vizuri kwa kukumbatiana. Bw. Sozigwa akaandika barua fupi kisha akaipeleka Shihata, Upanga na umma ukatangaziwa. Bendi ya Kimulimuli ya Mafinga ikatunga wimbo wa kumpongeza Mwalimu "Tumekataa kuyumbishwa na Mataifa Makubwa". Baada ya wiki kadhaa Mwalimu akatangaza miezi 18 ya kujifunga mkanda. Baada ya kujiuzulu, Mh. Mtei aliona aondoke hapo mjini, hivyo akauza jumba lake na kununua shamba kubwa huko Tengeru, nje kidogo ya Arusha na kuhamia huko. Miaka mitatu baada ya kujiuzulu, Mwalimu alimteua Mh. Mtei kuwa "Executive Director" wa IMF Africa, Marekani, akiziwakilisha nchi za Afrika zinazoongea kiingereza. Mh. Mtei, baada ya kuifanya kazi hiyo kwa weledi akizunguka dunia nzima, hatimaye akarejea nchini mwishoni mwa mwaka 1986.

Rais Ali Hassan Mwinyi aliyechukua uongozi baada ya Mwalimu, mwaka 1986 alimteua Mh. Cleopa David Msuya kuwa Waziri wa Fedha na akaruhusu soko huria na kulegeza masharti mengi ya biashara. Mh. Msuya akaelekea, Washington, kujadiliana na IMF na kukubaliana na masharti yao kisha akarejea nchini. Kisha tarehe 10.6.1986, Mh. Msuya aliongoza ujumbe mzito wa mkutano wa siku mbili mjini Paris akiwa pamoja na Mh. Paul Bomani, Waziri wa Kilimo, Gavana Charles Nyirabu na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Mh. Gilman Rutihinda,

Mh. Mwinyi aliitisha kikao cha Baraza la Mawaziri kujadili masharti ya IMF. Katika kikao hicho, Mh. Msuya alielezea makubaliano yake na IMF na Baraza likaafiki kwa kauli moja na kumuelekeza Mh. Msuya akaandae bajeti itakayoendana na makubaliano hayo. Siku 3 baadae machale yakamcheza Mh. Mwinyi hivyo akampigia simu Mh. Msuya na kumueleza; kwamba hajapata usingizi kabisa toka juzi kutokana na hayo makubaliano aliyokuja nayo, akamuuliza je tunaweza kukutana tena tukayajadili upya katika Baraza la Mawaziri? Mh. Msuya alikubaliana na Rais Mwinyi na hivyo siku moja kabla ya Bajeti kusomwa, Tar 18.6.1986, Rais Mwinyi aliitisha Mkutano wa baraza la mawaziri.

Mh. Msuya, bila kupepesa macho, kutikisa pua wala masikio, akaongea ,Mh. Rais, kama kuna hata mmoja katika Baraza hili la Mawaziri ambaye hatakubaliana na bajeti hii niliyoiandaa kutokana na masharti tuliyokubaliana na IMF, basi nitajiuzulu ili uteue Waziri mwingine wa Fedha unayemtaka, Rais Mwinyi akaeleza kwamba Mawaziri wote waongee kwa ukweli wao toka mioyoni mwao na kila mmoja aseme kama anakubaliana na masharti hayo.

Kila Waziri alieleza msimamo wake ambapo Mawaziri wengi walikubaliana na masharti hayo isipokuwa wachache akiwemo Waziri wa viwanda kwani wakati huo kulikuwa na "Sakata la kufa mtu" la maandamano nchini Jamaika na Moroko kupinga masharti ya IMF hivyo kuhofia yangefika Tanzania. Mh. Mwinyi "alimuelewesha " Waziri huyo kuwa viwanda vichache vilivyosalia vilikuwa vikifanya kazi kwa 25% tu na hivyo vilikuwa hatarini kufungwa. Hivyo, Baraza la Mawaziri likapitisha kwa mara nyingine masharti hayo. Kesho yake, Alhamisi ya tarehe 19.6.1986, bajeti ikasomwa.

Tarehe 25.6.1986 wakati wa kujibu maswali ya wabunge waliohoji kuhusu kubadili msimamo wa Mwalimu kuhusu IMF, Mh. Msuya kwa weledi wa hali ya juu, alielezea kuwa Hatuna adui wa kudumu bali tuna maslahi ya kudumu ya Watanzania. Tumewahi kuvunja uhusiano na nchi moja na baadae tukarejesha Hatimaye, thamani ya shilingi ikapunguzwa toka $1= TZS 17/= hadi $ 1= TZS 40/= (25%). Prof. simon Mbilinyi, aliyekuwa mshauri wa Mwalimu alieleza kuwa ilikuwa vigumu kumbadili Mwalimu kuhusu msimamo wa kushusha thamani ya shilingi kwakuwa alikuwa hakubaliani kabisa na IMF na Benki ya dunia. Prof. Mbilinyi alieleza kuwa ;Bosi alikuwa akitaka ushauri kutoka kwetu, lakini ukitoa ushauri unaoendana na Benki ya Dunia au IMF atakujibu "toka hapa"

Prof. Mbilinyi aliyekuwa pia mshauri wa Mh. Mwinyi aliwahi kueleza: kwamba Ilikuwa vigumu kumshauri Mwalimu kwakuwa alikuwa na msimamo thabiti kuhusu IMF, lakini ilikuwa kazi nyepesi kidogo kwa Rais Mwinyi. Rais Mwinyi alikuwa na fikra huria, ilikuwa rahisi kwao kubuni sera kwani alikuwa huru kuchanganya kanuni za Kijamaa na Kibepari ili mradi nchi isonge mbele.

Rais MWINYI, kwa kutambua uwezo mkubwa alionao Mh. Mtei, alimteua kwenye Bodi na tume mbalimbali nyingi ambako alitoa mchango mkubwa, Mtei, mwezi Julai mwaka 1992, alianzisha chama cha Chadema, chama kikuu cha upinzani nchini ambapo alienda Butiama na kumuonesha Mwalimu Katiba ya chama hicho ambapo Mwalimu aliisifia.
 
Anakaribishwa kwenye karamu bila kalamu
 

Attachments

  • IMG-20231119-WA0019.jpg
    IMG-20231119-WA0019.jpg
    66.5 KB · Views: 2
MONDAY, NOVEMBER 20TH 2023

THIRTY-THIRD WEEK ORDINARY TIME YEAR A

FIRST READING
Very great wrath came upon Israel.
1ST MACCABEES 1: 10 - 15, 41 - 43, 54 - 57, 62 - 64

In those days: There came forth a sinful root, Antiochus Epiphanes, son of Antiochus the king; he had been a hostage in Rome. He began to reign in the one hundred and thirty-seventh year of the kingdom of the Greeks. In those days lawless men came forth from Israel, and misled many, saying, “Let us go and make a covenant with the Gentiles round about us, for since we separated from them many evils have come upon us.” This proposal pleased them, and some of the people eagerly went to the king. He authorized them to observe the ordinances of the Gentiles. So they built a gymnasium in Jerusalem, according to Gentile custom, and removed the marks of circumcision, and abandoned the holy covenant. They joined with the Gentiles and sold themselves to do evil. Then the king wrote to his whole kingdom that all should be one people, and that each should give up his customs. All the Gentiles accepted the command of the king. Many even from Israel gladly adopted his religion; they sacrificed to idols and profaned the sabbath. Now on the fifteenth day of Chislev, in the one hundred and forty-fifth year, they erected a desolating sacrilege upon the altar of burnt offering. They also built altars in the surrounding cities of Judah, and burnt incense at the doors of the houses and in the streets. The books of the law which they found they tore to pieces and burnt with fire. Where the book of the covenant was found in the possession of any one, or if any one adhered to the law, the decree of the king condemned him to death. But many in Israel stood firm and were resolved in their hearts not to eat unclean food. They chose to die rather than to be defiled by food or to profane the holy covenant; and they did die. And very great wrath came upon Israel.

The Word of the Lord.


RESPONSORIAL PSALM
Psalm 119: 53, 61, 134, 150, 155, 158 (R.) 88

R/. Give me life, O Lord, and I will keep your commands.

I am seized with indignation at the wicked
who forsake your law. R/.

Though the nets of the wicked ensnare me,
your law I did not forget. R/.

Redeem me from man's oppression,
and I will keep your precepts. R/.

Those who pursue me with malice draw near;
they are far from your law. R/.

Salvation is far from the wicked,
who are heedless of your statutes. R/.

I look at the faithless with disgust;
they have not kept your word. R/.


GOSPEL ACCLAMATION
John 8: 12

Alleluia.
I am the light of the world, says the Lord; he who follows me will have the light of life.
Alleluia.


GOSPEL
What do you want me to do for you? Lord, let me receive my sight.
LUKE 18: 35 - 43

It happened that, as Jesus drew near to Jericho, a blind man was sitting by the roadside begging; and hearing a multitude going by, he inquired what this meant. They told him, “Jesus of Nazareth is passing by, ‘And the cried, “Jesus, Son of David, have mercy on me!” And those who were in front rebuked him, telling him to be silent; but the cried out all the more, “Son of David, have mercy on me!’ And Jesus stopped, and commanded him to be brought to him; and when he came near, he asked him, “What do you want me to do for you?” He said, “Lord, let me receive my sight,” And Jesus said to him, “Receive your sight; your faith has made you well,” And immediately he received his sight and followed him, glorifying God; and all the people, when they saw it, gave praise to God.

The Gospel of the Lord.
 
Morning Prayer.

Heavenly Father, as I begin this new day, I ask for your guidance and wisdom.

I pray that you would lead me on the path that you have set before me, and that I would be able to hear your voice and follow your direction.

I ask that you would give me insight and discernment as I make decisions about my life, and that I would be able to trust in your plan for my future.

I trust in your guidance and provision, and I pray that I would be able to follow your lead today.

In Jesus' name, we pray. Amen.
Bible Verses to Read:

Revelation 22:16

“I, Jesus, sent my angel to give you this testimony for the churches. I am the root and offspring of David, the bright morning star.”

- Sent from BitBible English App
 
Evening Prayer.

Lord, I pray for your help in getting a peaceful and restful sleep tonight.

I ask that you would calm my thoughts and worries, and that you would ease any anxieties or fears that may be keeping me awake.

I pray that I would be able to rest deeply and wake up feeling refreshed and energized for the day ahead.

I trust in your provision and care, and I pray that I would experience your peace and rest tonight.

In Jesus' name, we pray. Amen.

Bible Verses to Read:

Leviticus 18:22

You shall not lie with a male as with a woman; such a thing is an abomination.

- Sent from BitBible English App
 
Prayers for Children.

Dear God, I come before you today to pray for my child.

I ask that you bless them with health, happiness, and success in all that they do.

Please protect them from harm and danger, and guide them in the right direction as they navigate through life.

Give them strength to face their challenges, and wisdom to make good choices.

May they always know how much they are loved, and may they grow to be a reflection of your grace and love.

In Jesus' name, we pray. Amen.

Bible Verses to Read:

Genesis 1:28

God blessed them and God said to them: Be fertile and multiply; fill the earth and subdue it.

Have dominion over the fish of the sea, the birds of the air, and all the living things that crawl on the earth.

- Sent from BitBible English App
 
IMG-20231121-WA0001.jpg
during his heydays with a friend. Anger against humanity is satanic!
 
Back
Top Bottom