Tangia Bashite arudi CCM tunaona uchimvi dhidi ya katibu mkuu, chongolo umeshamiri.
Tukimruhusu Bashite kwa kumtumia Musiba kuchafua viongozi wa CCM tumekwisha.
Dawa ya wambeya ni kutofanya wayatakayo.
Tangia lini ajali barabarani ikawa jinai au umalaya au ufisadi?
Walitaka apate ajali akiwa na nani?