Hawa kovid 19 hawawezi kuharamisha maamuzi ya bunge. Anavyodai Ulimwengu siyo sahihi kabisa. Ni sawa na mbunge katenguliwa na mahakama hawezi kulifanya bunge liwe haramu au maamuzi yake kuwa haramu. Maamuzi ya kimahakama huanza siku ya hukumu hivyo kabla ya hukumu mbunge aliyetenguliwa alikuwa halali.
Jingine huwezi kwenda mahakamani kuhoji uhalali wa maamuzi yake kwa sababu hujui baadhi ya wabunge hujui walitoka wapi bali unaweza kuhoji hao wabunge uhalali. Kwa kovid 19 kuna kesi iko mahakamani kwa hiyo hakuna mahakama itapokea shauri lilelile linalobishaniwa ambalo ni kama kovid 19 walitimuliwa kihalali. Na sasa hivi hii khoja imepitwa na wakati haina walalamikaji. Wamewarudishia wote uanachama baada ya bosi kuhongwa Tshs 50 Mill kwa kila mmoja wao
Hawa kovid 19 hawawezi kuharamisha maamuzi ya bunge. Anavyodai Ulimwengu siyo sahihi kabisa. Ni sawa na mbunge katenguliwa na mahakama hawezi kulifanya bunge liwe haramu au maamuzi yake kuwa haramu. Maamuzi ya kimahakama huanza siku ya hukumu hivyo kabla ya hukumu mbunge aliyetenguliwa alikuwa halali.
Jingine huwezi kwenda mahakamani kuhoji uhalali wa maamuzi yake kwa sababu hujui baadhi ya wabunge hujui walitoka wapi bali unaweza kuhoji hao wabunge uhalali. Kwa kovid 19 kuna kesi iko mahakamani kwa hiyo hakuna mahakama itapokea shauri lilelile linalobishaniwa ambalo ni kama kovid 19 walitimuliwa kihalali. Na sasa hivi hii khoja imepitwa na wakati haina walalamikaji. Wamewarudishia wote uanachama baada ya bosi kuhongwa Tshs 50 Mill kwa kila mmoja wao.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.