Maoni yangu binafsi juu ya masuala mbalimbali yanayoendelea duniani

Kabla ya mgonjwa kukutana na muuguzi hukutana na dakitari sasa maelekezo ya dakitari yanasema nini?
 
Waaguzi wanafanya kazi kwenye mazingira magumu mno. Wakitoa huduma bure wanatuhumiwa wamehongwa
 
Wakidinda kutoa huduma bure wanatimuliwa
Hivi mnataka wafanye nini?
 
Tunasema wauguzi hawana kosa kwa kufuata miongozo ya serikali laki moja unusu ifutwe hapo kama watagoma ndipo watakuwa na kesi ya kujibu
 
Katiba mpya inauzwa duka lipi tukainunue na kwa bei ipi?

Mbona mnatunyima taarifa?

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…