Naona wamerudi Kwa Kasi Tena, wanapora, wanajeruhi, ni huzuni. Jamaa yetu juzi Goba Kwa Madawa wamevamiwa mtaa mzima wamepigwa vibaya. Wameporwa pesa simu na vingine vya thamani. Wamefanyiwa ukatili, hawajali mjamzito Wala mzee wanapiga vibaya. Hili kundi walikua kama 20-30 Kwa idadi halafu...