Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,468 Reaction score 911,184 Dec 12, 2023 Thread starter #1,801 Uchimbaji wa makaa ya mawe umebuma mwekezaji anataka aondoke nayo bila kutuachia hata sumni. Na hawa mazezeta wetu wako bize wanajadili mgao wao
Uchimbaji wa makaa ya mawe umebuma mwekezaji anataka aondoke nayo bila kutuachia hata sumni. Na hawa mazezeta wetu wako bize wanajadili mgao wao
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,468 Reaction score 911,184 Dec 12, 2023 Thread starter #1,802 Uchimbaji wa simenti Tanga umekwama kisa mwekezaji hataki kuchangia uchumi wa nchi hii
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,468 Reaction score 911,184 Dec 12, 2023 Thread starter #1,803 Na watawala wanaona ganda la muwa la jana ni fursa ya kukata kidali chao
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,468 Reaction score 911,184 Dec 12, 2023 Thread starter #1,804 Sheria za kuwabagua wawekezaji kutoka nje wasilipe kodi zinalenga kutoa mwanya wa watawala kudai hongo
Sheria za kuwabagua wawekezaji kutoka nje wasilipe kodi zinalenga kutoa mwanya wa watawala kudai hongo
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,468 Reaction score 911,184 Dec 12, 2023 Thread starter #1,805 Huwa tunauliza mtupe takwimu tangia Orthello apewe Loliondo mchango wake kwenye bajeti ya serikali kila mwaka uko wapi?
Huwa tunauliza mtupe takwimu tangia Orthello apewe Loliondo mchango wake kwenye bajeti ya serikali kila mwaka uko wapi?
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,468 Reaction score 911,184 Dec 12, 2023 Thread starter #1,806 Hadi leo hatujajibiwa
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,468 Reaction score 911,184 Dec 12, 2023 Thread starter #1,807 Huwa tunauliza mchango wa wachimbaji wakubwa wa madini kwenye bajeti ya serikali uko wapi?
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,468 Reaction score 911,184 Dec 12, 2023 Thread starter #1,808 Hakuna anayetupatia majibu
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,468 Reaction score 911,184 Dec 12, 2023 Thread starter #1,809 Tunachoona ni kasi ya kukopa madeni ambayo kila mmoja wetu anajua hayalipiki
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,468 Reaction score 911,184 Dec 12, 2023 Thread starter #1,810 Tunachoona ni vuvuzela la wataalamu kudai mzigo wa madeni unabebeka lakini hawatuelezi wametumia vigezo vipi kuhitimisha hivyo
Tunachoona ni vuvuzela la wataalamu kudai mzigo wa madeni unabebeka lakini hawatuelezi wametumia vigezo vipi kuhitimisha hivyo
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,468 Reaction score 911,184 Dec 12, 2023 Thread starter #1,811 Tunachoona ni riba za kuyalipa madeni zinapaa kila kukicha
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,468 Reaction score 911,184 Dec 12, 2023 Thread starter #1,812 Tunachoona majukumu ya serikali kama afya, elimu na miundombinu tunabebeshwa sisi tusiyo na hatia
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,468 Reaction score 911,184 Dec 12, 2023 Thread starter #1,813 Tunachoona watawala kila kukicha wanatunga sheria za mafao ya kuboresha hali zao huku kikotoo cha wanyonge kikiendelea kubinywa
Tunachoona watawala kila kukicha wanatunga sheria za mafao ya kuboresha hali zao huku kikotoo cha wanyonge kikiendelea kubinywa
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,468 Reaction score 911,184 Dec 12, 2023 Thread starter #1,814 Tunachoona watawala kila kukicha wanajipandishia kimya kimya mishahara na marupurupu huku ya watu baki inaendelea kudumaa
Tunachoona watawala kila kukicha wanajipandishia kimya kimya mishahara na marupurupu huku ya watu baki inaendelea kudumaa
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,468 Reaction score 911,184 Dec 12, 2023 Thread starter #1,815 Tunasema sheria zimetumika visivyo na kujenga matabaka ya matajiri na masikini
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,468 Reaction score 911,184 Dec 12, 2023 Thread starter #1,816 Tozo, mifuko ya bima ya afya na bodi za mikopo ya elimu ni ushahidi watawala kazi imewashinda
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,468 Reaction score 911,184 Dec 12, 2023 Thread starter #1,817 Bima ya afya ya nini na wewe una wawekezaji?
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,468 Reaction score 911,184 Dec 12, 2023 Thread starter #1,818 Bodi ya mikopo ya nini na wewe una wawekezaji?
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,468 Reaction score 911,184 Dec 12, 2023 Thread starter #1,819 Tozo za nini na wewe una wawekezaji?
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,468 Reaction score 911,184 Dec 12, 2023 Thread starter #1,820 Sheria za kodi, masilahi ya watawala, wawekezaji, Bima ya afya, Miundombinu na bodi ya mikopo ya elimu kwa pamoja zinajenga tanuru za vita vya wenyewe kwa wenyewe
Sheria za kodi, masilahi ya watawala, wawekezaji, Bima ya afya, Miundombinu na bodi ya mikopo ya elimu kwa pamoja zinajenga tanuru za vita vya wenyewe kwa wenyewe