Mahakama zetu na upendeleo fisadi wa Tshs 71 Bill faini Tshs 12 Mill. Aliyeuza nyama ya swala kifungo miaka 22 hakuna cha mbadala wa faini halafu uniambie hakimu hajahongwa
Hii ni Iringa na baridi lazima ufunge milango na madirisha. Sasa hawa usiku huo waliamua kujifungia na kugalagalazana sakafuni. Hawakujua jiko la mkaa linatumia hewa na oksijeni na kuachia carbon monoxide ambayo haina harufu na inaua. Waliendelea na starehe yao hadi mauti ikawakuta. Asubuhi wateja walishangaa mbona hafungui. Wakachungulia wakawaona wako watupu wamelala. Wakaita polisi ambao walivunja mlango wakawakuta wamekufa kwa kuvuta carbon monoxide ambayo hawakajua inatokana na makaa yaliyokuwa yakiwapasha joto. Wote ndoa zao waliziweka kando siku hiyo. Sina uhalika kabla ya mauti walipanga kulala hapo hadi asubuhi. Ninahisi ilikuwa chapuchapu waishie.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.