Pre GE2025 Maoni yangu binafsi kwa Nabii Dominic wa Buza kuhusu suala la uchaguzi 2024-2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mung Chris

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2017
Posts
3,391
Reaction score
3,849
Huyu nabii amesikika kwenye Redio akifanya kazi kubwa ya kufufua na kuwaua waovu wanao katisha maisha na ndoto za walio wengi kwa manufaa yao binafsi.

Maoni yangu atusaidie Taifa letu la Tanzania, Nabii atangaze rasmi na kuomba dua kwamba, kila atakaye iba kura afe kama wanavyokufa wachawi wote ili kila mtu ajue kwamba kuiba kura sio dili bali uhalali na akupacho Mungu ndio riziki yako.

Naomba tuungane kwa hili ili tupate watu halali na wakweli katika taifa hili.
 
Kuna mama hapa usiku kucha anamsikiliza yeye tu na humwambii kitu.
Wenzetu sijui uwezo wa kupambanua mambo ukoje, yaani jamaa anafufua wafu muda wote kwenye simu, na watu wanamuamini.
 
Yaani ukifariki unampigia simu anakufufua au inakuwaje?

Maajabu sana haya. Nakumbuka hata mamake na nabii Malisa alisema laivu madhabahuni kuwa siku moja naye alifariki akiwa peke yake akampigia simu mwanae akaja akamfufua.

Haki ya nani Wagalatia tutafika mbinguni tukiwa hoi bin taaban! 😁
 
Huyu nabii amesikika kwenye Redio akifanya kazi kubwa ya kufufua na kuwaua waovu wanao katisha maisha na ndoto za walio wengi kwa manufaa yao binafsi.

Maoni yangu atusaidie Taifa letu la Tanzania, Nabii atangaze rasmi na kuomba dua kwamba, kila atakaye iba kura afe kama wanavyokufa wachawi wote ili kila mtu ajue kwamba kuiba kura sio dili bali uhalali na akupacho Mungu ndio riziki yako.

Naomba tuungane kwa hili ili tupate watu halali na wakweli katika taifa hili.
Huyo mtu mimi namfahamu vizuri sana, hana lolote ni tapeli tu, na anawapiga wajinga hela ndefu sana, na mimi nasema wacha wapigwe tu kwani hakuna jinsi nyingine.
 
Kwenye Mambo ya Maama hutowasikia na hapa ndio tunaamini matapeli tu.

Mwaka 2019 Familia ya Mo Dewji ilitoa Dau kuwa Mtu yeyote atakayetoa fununu mahali alipo Mo basi familia ilitoa kitita cha Bilioni Moja.

Cha Kushangaza wale Waganga, Manabii fake hakuna hata mmoja alijitokeza. wakati huo huo wanaiba pesa za watu kwa kujifanya wanaona vitu visivyoonekana kama majini, mashetani, Uchawi, mambo ya giza na ya rohoni.
 
Yaani ukifa unampigia simu anakufufua au inakuwaje?

Maajabu sana haya. Nakumbuka hata mamake na nabii Malisa alisema kuwa naye alikufa akiwa peke yake akampigia simu mwanae akaja akamfufua.

Mungu ni mwema! 🙏🏿
Ndugu yako akifa we mpigie simu tu.

Ila hiyo namba ya simu hutokaa uipate hewani.

Ila utasikia tu watu wengine wanapiga na wanaongea........Fabricated move.
 
Huyu nabii amesikika kwenye Redio akifanya kazi kubwa ya kufufua na kuwaua waovu wanao katisha maisha na ndoto za walio wengi kwa manufaa yao binafsi.

Maoni yangu atusaidie Taifa letu la Tanzania, Nabii atangaze rasmi na kuomba dua kwamba, kila atakaye iba kura afe kama wanavyokufa wachawi wote ili kila mtu ajue kwamba kuiba kura sio dili bali uhalali na akupacho Mungu ndio riziki yako.

Naomba tuungane kwa hili ili tupate watu halali na wakweli katika taifa hili.
Nabii Kiboko ya Wachawi aliwambia Mamlaka ya Temeke iliyotaka kubomoa Kanisa lake kwa sababu liko ktkati ya Makazi kuwa atakaye Jaribu na Afe.

Aisee wote walikimbia hakuna aliyemgusa.

Yule jamaa anatisha
 
Gwajima aliishi kwa uwongo huo wa kufufua watu na akawa anajaza kanisa kwa uwongo huo, alikuja kujikanyaga aliposema atamfufua Amina Chifupa, kwa vile alikuwa mtu maarufu watu wakasubiri kwa hamu ili wamuone mrembo Amina Chifupa tena kwenye uso wa dunia hadi leo watu wanamsubiri Amina Chifupa. Hawa watu ni waongo sijui Serikali ina manufaa gani na hawa watu hadi inawaacha kuwahadaa watu na kuwachukulia fedha zao.
 
Huyu nabii amesikika kwenye Redio akifanya kazi kubwa ya kufufua na kuwaua waovu wanao katisha maisha na ndoto za walio wengi kwa manufaa yao binafsi.

Maoni yangu atusaidie Taifa letu la Tanzania, Nabii atangaze rasmi na kuomba dua kwamba, kila atakaye iba kura afe kama wanavyokufa wachawi wote ili kila mtu ajue kwamba kuiba kura sio dili bali uhalali na akupacho Mungu ndio riziki yako.

Naomba tuungane kwa hili ili tupate watu halali na wakweli katika taifa hili.
Duu
 
Angalia wajinga wanavyochunwa na huyo tapeli toka DRC. Jina lake halisi anaitwa Hassan Wamba.
 
Attachments

  • IMG-20240707-WA0000.jpg
    IMG-20240707-WA0000.jpg
    25.6 KB · Views: 2
Huyu nabii amesikika kwenye Redio akifanya kazi kubwa ya kufufua na kuwaua waovu wanao katisha maisha na ndoto za walio wengi kwa manufaa yao binafsi.

Maoni yangu atusaidie Taifa letu la Tanzania, Nabii atangaze rasmi na kuomba dua kwamba, kila atakaye iba kura afe kama wanavyokufa wachawi wote ili kila mtu ajue kwamba kuiba kura sio dili bali uhalali na akupacho Mungu ndio riziki yako.

Naomba tuungane kwa hili ili tupate watu halali na wakweli katika taifa hili.
HAYA MAMBO NDO MAANA MWAMBA KAGAME ALIPIGA MARUFUKU HUU UJINGA AISEE.
 
Gwajima aliishi kwa uwongo huo wa kufufua watu na akawa anajaza kanisa kwa uwongo huo, alikuja kujikanyaga aliposema atamfufua Amina Chifupa, kwa vile alikuwa mtu maarufu watu wakasubiri kwa hamu ili wamuone mrembo Amina Chifupa tena kwenye uso wa dunia hadi leo watu wanamsubiri Amina Chifupa. Hawa watu ni waongo sijui Serikali ina manufaa gani na hawa watu hadi inawaacha kuwahadaa watu na kuwachukulia fedha zao.
Hao ni mtaji wa serikali ya CCM ndio wanatumika kupumbaza watu ikifuatiwa na Simba na Yanga.
 
Kiukweli huyu raia wa DRC anastahili kuswekwa ndani na kupewa saa 24 kuondoka nchini. Hana tofauti kabisa na waganga wa ramli chonganishi. Binafsi ninamfahamu jamaa alimkatakata mapanga mama yake mzazi baada ya kuambiwa na Prof. Dominic kiboko ya wachawi kwamba ni mama yake alikuwa akiwaloga watoto wa jamaa kufa ghafla.
 
Kupitia huyu dominick wa buza kwa mama kibonge nilimpenda na kumkubali raisi kagame kuhusu maamuzi yake ya ku control makanisa haya ya uamsho na kitapeli.
Huyu ni tapeli kabisa na ingewezekana haya makanisa ya aina hii yangefutiliwa mbali.

Bila mchungaji kuwa na degree ya theology asigungue kanisa na asiwe muongo wa kuhubiri mafanikio tuu na miujiza ili hali dunia halisi haina mafanikio bila kufanya kazi kwa bidii.

Jamaa anatoza watukumuona mpaka milioni moja kama yule mussa wa kule temboni. This is too much arrogancy. The dwell in lies and concortions.
 
Huyo mtu mimi namfahamu vizuri sana, hana lolote ni tapeli tu, na anawapiga wajinga hela ndefu sana, na mimi nasema wacha wapigwe tu kwani hakuna jinsi nyingine.
Ulichosema hapa ni kashfa tu na hakina msaada wowote juu ya jamii kuweza kuamini au kutoamini anachofanya huyo unayesema hapa Jf kuwa unamfahamu. Ulichokisema hakina tofauti kabisa kama ungekaa kimya maana hakina impact yoyote ile. Sasa ongezea nyama ili tujue unamfahamu vipi ukiringanisha na anachokifanya sasa ili tuchambue tujiridhishe
 
Back
Top Bottom