Pre GE2025 Maoni yangu binafsi kwa Nabii Dominic wa Buza kuhusu suala la uchaguzi 2024-2025

Pre GE2025 Maoni yangu binafsi kwa Nabii Dominic wa Buza kuhusu suala la uchaguzi 2024-2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Huyu nabii amesikika kwenye Redio akifanya kazi kubwa ya kufufua na kuwaua waovu wanao katisha maisha na ndoto za walio wengi kwa manufaa yao binafsi.

Maoni yangu atusaidie Taifa letu la Tanzania, Nabii atangaze rasmi na kuomba dua kwamba, kila atakaye iba kura afe kama wanavyokufa wachawi wote ili kila mtu ajue kwamba kuiba kura sio dili bali uhalali na akupacho Mungu ndio riziki yako.

Naomba tuungane kwa hili ili tupate watu halali na wakweli katika taifa hili.
Ccm hawataipenda hii
 
Back
Top Bottom