Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,391
- 3,849
Huyo mtu mimi namfahamu vizuri sana, hana lolote ni tapeli tu, na anawapiga wajinga hela ndefu sana, na mimi nasema wacha wapigwe tu kwani hakuna jinsi nyingine.Huyu nabii amesikika kwenye Redio akifanya kazi kubwa ya kufufua na kuwaua waovu wanao katisha maisha na ndoto za walio wengi kwa manufaa yao binafsi.
Maoni yangu atusaidie Taifa letu la Tanzania, Nabii atangaze rasmi na kuomba dua kwamba, kila atakaye iba kura afe kama wanavyokufa wachawi wote ili kila mtu ajue kwamba kuiba kura sio dili bali uhalali na akupacho Mungu ndio riziki yako.
Naomba tuungane kwa hili ili tupate watu halali na wakweli katika taifa hili.
Kwenye Mambo ya Maama hutowasikia na hapa ndio tunaamini matapeli tu.Huyu nabii amesikika kwenye Redio akifanya kazi kubwa ya kufufua na kuwaua waovu wanao katisha maisha na ndoto za walio wengi kwa manufaa yao binafsi.
Maoni yangu atusaidie Taifa letu la Tanzania, Nabii atangaze rasmi na kuomba dua kwamba, kila atakaye iba kura afe kama wanavyokufa wachawi wote ili kila mtu ajue kwamba kuiba kura sio dili bali uhalali na akupacho Mungu ndio riziki yako.
Naomba tuungane kwa hili ili tupate watu halali na wakweli katika taifa hili.
Ndugu yako akifa we mpigie simu tu.Yaani ukifa unampigia simu anakufufua au inakuwaje?
Maajabu sana haya. Nakumbuka hata mamake na nabii Malisa alisema kuwa naye alikufa akiwa peke yake akampigia simu mwanae akaja akamfufua.
Mungu ni mwema! 🙏🏿
Nabii Kiboko ya Wachawi aliwambia Mamlaka ya Temeke iliyotaka kubomoa Kanisa lake kwa sababu liko ktkati ya Makazi kuwa atakaye Jaribu na Afe.Huyu nabii amesikika kwenye Redio akifanya kazi kubwa ya kufufua na kuwaua waovu wanao katisha maisha na ndoto za walio wengi kwa manufaa yao binafsi.
Maoni yangu atusaidie Taifa letu la Tanzania, Nabii atangaze rasmi na kuomba dua kwamba, kila atakaye iba kura afe kama wanavyokufa wachawi wote ili kila mtu ajue kwamba kuiba kura sio dili bali uhalali na akupacho Mungu ndio riziki yako.
Naomba tuungane kwa hili ili tupate watu halali na wakweli katika taifa hili.
DuuHuyu nabii amesikika kwenye Redio akifanya kazi kubwa ya kufufua na kuwaua waovu wanao katisha maisha na ndoto za walio wengi kwa manufaa yao binafsi.
Maoni yangu atusaidie Taifa letu la Tanzania, Nabii atangaze rasmi na kuomba dua kwamba, kila atakaye iba kura afe kama wanavyokufa wachawi wote ili kila mtu ajue kwamba kuiba kura sio dili bali uhalali na akupacho Mungu ndio riziki yako.
Naomba tuungane kwa hili ili tupate watu halali na wakweli katika taifa hili.
HAYA MAMBO NDO MAANA MWAMBA KAGAME ALIPIGA MARUFUKU HUU UJINGA AISEE.Huyu nabii amesikika kwenye Redio akifanya kazi kubwa ya kufufua na kuwaua waovu wanao katisha maisha na ndoto za walio wengi kwa manufaa yao binafsi.
Maoni yangu atusaidie Taifa letu la Tanzania, Nabii atangaze rasmi na kuomba dua kwamba, kila atakaye iba kura afe kama wanavyokufa wachawi wote ili kila mtu ajue kwamba kuiba kura sio dili bali uhalali na akupacho Mungu ndio riziki yako.
Naomba tuungane kwa hili ili tupate watu halali na wakweli katika taifa hili.
Hao ni mtaji wa serikali ya CCM ndio wanatumika kupumbaza watu ikifuatiwa na Simba na Yanga.Gwajima aliishi kwa uwongo huo wa kufufua watu na akawa anajaza kanisa kwa uwongo huo, alikuja kujikanyaga aliposema atamfufua Amina Chifupa, kwa vile alikuwa mtu maarufu watu wakasubiri kwa hamu ili wamuone mrembo Amina Chifupa tena kwenye uso wa dunia hadi leo watu wanamsubiri Amina Chifupa. Hawa watu ni waongo sijui Serikali ina manufaa gani na hawa watu hadi inawaacha kuwahadaa watu na kuwachukulia fedha zao.
Angalia wajinga wanavyochunwa na huyo tapeli toka DRC. Jina lake halisi anaitwa Hassan Wamba.
Ulichosema hapa ni kashfa tu na hakina msaada wowote juu ya jamii kuweza kuamini au kutoamini anachofanya huyo unayesema hapa Jf kuwa unamfahamu. Ulichokisema hakina tofauti kabisa kama ungekaa kimya maana hakina impact yoyote ile. Sasa ongezea nyama ili tujue unamfahamu vipi ukiringanisha na anachokifanya sasa ili tuchambue tujiridhisheHuyo mtu mimi namfahamu vizuri sana, hana lolote ni tapeli tu, na anawapiga wajinga hela ndefu sana, na mimi nasema wacha wapigwe tu kwani hakuna jinsi nyingine.
Ndiyo hilo la Dominick ni la kupigia hela tu, jamaa amejipiga mkorogo wa nguvu anavaa suti za bei mbaya na perfume kali kali. Ni tapeli aliyekubuhu.Hassani tena..??