Action and Reaction
JF-Expert Member
- Oct 16, 2021
- 1,438
- 1,496
Ntibanzonkiza ukimwangalia kwa jicho la ndani Hana msaada kwa Simba kwa namba 10 anayocheza, hivyo anampa wakati mgumu Baleke kupata mipira kazi za kumpa mipira Baleke anaiweza Chama only!
Ntibanzonkiza anafanya sana back pass na akiwa na mpira kwenda golini ni rahisi Sana kupoteza hivyo kwa MECHI zilizobaki kunahaja ya kufanya changes inapaswa aingie sub!
Kibu Denis ni jitu lenye energy na momentum muda wote dk 90+ hivyo hastahili kupigwa Subst.... Onana ingebidi atolewe aingie Phiri then Chama acheze namba 10!
Nasema hivi Tena kwa Herufi kubwa Kama kile kikosi Cha kwanza kitaanza na Ntubanzonkiza pamja na Onana ujue kuna SARE ingine hapahapa kwa mkapa au kufungwa kabisa.. hii nikwasababu Baleke yuko peke yake analindwa Sana na Mabeki wa timu pinzani huku Onana na Ntibanzonkiza hawana msaada wowote kwa timu!
Nb: Afadhali ya Mickson kuliko Onana!
🐯🐯
NGUVU MOJA!