Maoni yangu: Hao maafande wa tukio la binti wa Yombo Dovya hawatafungwa hata iweje

Maoni yangu: Hao maafande wa tukio la binti wa Yombo Dovya hawatafungwa hata iweje

Eti hii siyo Tanzania ya Magufuli! Mpumbavu sana.
Magufuli alikuwa na Tanzania yake!
 
Katika hii nchi ukitoa Rais, watu wanaofuata kupigiwa magoti ni askari na hawa jamaa huwa wanafanya walitakalo na hii imethibitika katika vitu vingi sana.

Yaani kiufupi hao jamaa waliotuhumiwa kubaka na kulawiti hawatofungwa na wataishi maisha ya uraiani na kazi hawatofukuzwa sababu ni watu muhimu sana.

Sasa naona wabongo wanadanganyana sana eti watafungwa hivi si mliambiwa kesi ni siku tano haya mpaka leo siku tano si zimeshaisha Jana eti Kuna wakili kajitokeza kufungua kesi dhidi ya mawakili wanaowatetea MAAFANDE imepelekea kesi kusogezwa mbele mpaka kesi ya mawakili isikilizwe.

Hivi watanzania Kwa akili ya kawaida tu hamuoni kama hapo hamna kesi ya MAAFANDE yaani kesi imetoka Kwa maaafande imehamia kwa mawakili.

Cha kushauri tu mkae mkijua MAAFANDE watarudi uaraiani hii sio Tanzania ya magufuli na kesi hamna ipo hivyo yaani na majamaa yanadharau kweli kama yenyewe ndio wanaume pekee Tanzania.

Umeamka na ulevi
 
Maaskari na wanajeshi kibao tu washafungwa wewe umeijua mitandao juzi kijana wa buku bee

Nimeshakuambia tanzania hii elewa maana ya tanzania hii endelea kuota
 
Back
Top Bottom