Maoni yangu: Hao maafande wa tukio la binti wa Yombo Dovya hawatafungwa hata iweje

Huna akili ama unazo ila hupendi kuzitumia...wewe ni mke wao au mnufaika wa uovu wao?
Utajua mwenyewe ila hapo afungwi mtu makasiriko Yako mpelekee raisi wako na mahakama sio Mimi umesikia binti
 
Eti hii siyo Tanzania ya Magufuli! Mpumbavu sana.
Magufuli alikuwa na Tanzania yake!
 

Umeamka na ulevi
 
Nimeshakuambia tanzania hii elewa maana ya tanzania hii endelea kuota
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…