Angekuwa dadaako au binti yako ndiye aliyetendewa hayo, ungeandika hayo uliyoyaandika kwamba huyo binti XY aliyedhalilishwa hana thamani kama ya hao waliomtendea uovu huo?
Acha kejeli ndugu; usifurahie masaibu yaliyomkuta huyo binti, hata nduguyo yanaweza kumkuta; utaendelea na kejeli zako kweli? 🤥🤥