Maoni yangu juu ya rasimu ya mitaala na Sera ya elimu 2023

Maoni yangu juu ya rasimu ya mitaala na Sera ya elimu 2023

Wilson Gamba

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2013
Posts
808
Reaction score
878
Kama mtanzania nimepitia na kuisoma kwa umakini kujua Nini kimo maana elimu Ndo Kila kitu katika taifa lolote maana Ndo jiko la wataamu wenye Chachu ya kuleta Maendeleo ya nchi.

Nawapongeza Ila maoni yangu ni Kama ifuatavyo:
1. Kwenye Sela ya elimu lugha ya kujufunzia ni Kiswahili kwa shule za awali na msingi kwa zile za serikali na kiingereza kwa zile zinazotumia mfumo wa kiingereza. Maoni yangu apa ni bora lugha ingekuwa moja kwa shule zote yaani kiingereza ndiyo kitumike na Kiswahili lifunzwe tu Kama somo ili kuepuka kuendelea kuwachanganya watoto kwani wakifika sekondari kwa mjibu wa Sera hii ya elimu pendekezwa mtoto ataitaji kutumia kiingereza katika kujifunza kwa masomo yote isipokuwa Kiswahili na husotiria ya tanzania.

2. Kuhusu masomo ya darasa la kwanza/awali ningependekeza mtoto aweze tu kumdu stadi tatu tu yaani kuhesabu, kusoma na kuandika ili kumwezesha kumudu vuzuri zaidi lugha na atumie pia kiingereza kama nilivyoshauri apo juu, pia Kama Kuna ulazima Sana anaweza pia kusoma science ya mazingira yake

3. Na ili hili liweze kufanikiwa nashauri walimu waendane na ratio ya watoto ili kuwamdu vuzuri yaani mwl awe na watoto wachache ili awamudu asa apa kwa darasa la awali na la kwanza.Ushauri wangu Ni huu kwa mtizamo wangu.Kwa ujumla Kama ikisimamia vizuri Ni nzuri Sana.
 
Weka paragraphs basi kwenye maelezo yako..
Na Mimi naunga mkono hoja
 
Nakumbuka miaka ya 70s au niwe specific mwaka 1976 pale Mwenge sekondari kulikuwa na mchepuo wa ufundi and specifically kulikuwa na ufundi carpentry. Nilikwenda form five nikaona vijana wanaweza kutengeneza furniture right from Form 1.

Of course kulikuwa na mentlity kubwa ya white colat jobs na hivyo vijana hawakuweka maanani sana.

English curriculam
Mtaala huu ulikuwa highly focued to deelop skills. Baadaye akaja mtu mmoja nadhaniMungai akaviua. ndilo ttizo la kuwa na mtu mmoja anaamua maisha ya wengine!

Mittala ya waingereza mbona ndiyo iliyowafikisha hapa walipo, sasa ina ubaya gani? Nileleweshe please
 
Back
Top Bottom