Gwaje
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 299
- 85
serikali tatu ni muhimu na muundo utakuwa hivi, Rais mmoja wa muungano, makamu wa rais 2 yaani Tanganyika na zanzibar na hivyo kufuta waziri mkuu na waziri kiongozi ambapo hao makamu 2 watakuwa ndio wakuu wa serikali na watawajibika bungeni unaruhusiwa kuboresha wazo hili
lakini kama tungeweza kupata maoni yaliyotolewa na baadhi ya waliokuwa viongozi wetu ili kulinganisha walichokisema na wanachokisema kwa sasa
lakini kama tungeweza kupata maoni yaliyotolewa na baadhi ya waliokuwa viongozi wetu ili kulinganisha walichokisema na wanachokisema kwa sasa