Maoni yangu kuhusu biashara ya kuagiza bidhaa China

Ok! Kikubwa tahadhari tu [emoji120]
Sema angalau wachina wa Alibaba wana unafuu wao... huwa hawaachi kukutumia kabisa mzigo ila kama ni nguo utapokea vitu vya hovyo. Siku unafungua furushi lazima ulie. 😁😁😁 nadhani huwa wanatafuta tu ushahidi kwamba mzigo alikutumia.
 
Very risk! Ina bidi ifike mahala wazuri wa fahamike na wezi wafahamike, means uno watumia ww wazuri uwa ainishe na wezi ulio kumbana nao na mwingine alie wahi kufanya biznec hii bia a ainishe wake
 
Very risk! Ina bidi ifike mahala wazuri wa fahamike na wezi wafahamike, means uno watumia ww wazuri uwa ainishe na wezi ulio kumbana nao na mwingine alie wahi kufanya biznec hii bia a ainishe wake
Nitatoa majina ya niliowahi kufanya nao kazi bila matatizo pia nitawataja waliowahi kunitapeli.
 
Incase ukitumia shipping Agent wako,kwenye gharama za kukusafirishia mzigo Kila kitu anakuwa kishalipia ww ni kupokea mzigo tu
 
Hivi mkuu kwa mfano mfanyabiashara akiamua kwenda mwenyewe China kuchagua mizigo na kuituma, tiketi na visa inagharimu kiasi gani?
 
Nitatoa majina ya niliowahi kufanya nao kazi bila matatizo pia nitawataja waliowahi kunitapeli.
Hii ita saidia sana sana sana! Mungu akujaalie ukumbuke maana wengine tunaona ni viini macho
 
Jinsi ya kuwagundua unafanyaje
 
Ndugu naheshimu maoni yako ila MIMI SIFANYI BIASHARA YA KUMUAGIZIA MTU KITU KUTOKA CHINA... Nimetoa tu ushauri na sihitaji mtu yeyote kuniomba nimuagizie kitu China. Pia jitahidi kuwa positive badala ya kuwaza mabaya muda wote.
Mkuu. Unaweza kunisaidia mimi na group langu la wafanyabiashara ukatufundisha namna ya kuagiza vitu nje ya nchi?
 
Mkuu. Unaweza kunisaidia mimi na group langu la wafanyabiashara ukatufundisha namna ya kuagiza vitu nje ya nchi?
Mkuu ninachoweza kufanya ni kukupa tu uzoefu wangu binafsi. Yale yatakayofaa utayachukua.
 
Naomba njia zitumikazo kufanya malipo kama hutojali
 
Kuna tapeli anajiita mwl rct naye anapigo hizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…