hakuna kitu kinachoitwa control engine na wewe....!!
thread za magari, mafundi na madalali siku zote ni za wasioenda shule... 90% wanaongelea spidi, highway ziko wapi za kwenda spidi, Fire - Kimara kupitia Manzese sokoni? Imagine mtu anaanzisha thread hata hajui gari anazoziongelea ni za miaka gani, model sub model gani, jina rasmi gani, hajui!
Utasikia Prado Mayai, Land Cruiser Daimondi, Fuso Tandamu, Tako la Nyani, Macho ya Panzi, Raum New Model... Gari second generation unaiita new model wakati kuna matoleo matatu katikati?
Hivi wateja wenu ambao hawatokei mitaani uswekeni huko, washua wa Masaki na wadosi wa Upanga ukimwambia tako la nyani mtaelewana? Utamwelezaje wakati hujui Year, Make, Model and Sub Model ya gari?