Sasa Vanguard nayo si ina engine ya harrier pia hata chassy itakuwa ni ya harrier bila shaka. Nadhani hata performance hazitapishana sana.Vanguard mwisho wa matatizo. Spacious, imekaa kiume na ukiwa nayo ni rahisi kupata viza ya US
Vipuri vya BMW bongo Bei Yake vp
Kwa hiyo mkuu unashauri nichukue ipi Kati ya Harrier "Tako la Nyani" vs RAV4 L?Sasa Vanguard nayo si ina engine ya harrier pia hata chassy itakuwa ni ya harrier bila shaka. Nadhani hata performance hazitapishana sana.
Tako la nyani anyday bro. Go for it!Kwa hiyo mkuu unashauri nichukue ipi Kati ya Harrier "Tako la Nyani" vs RAV4 L?
1MZ-FE?Sasa Vanguard nayo si ina engine ya harrier pia hata chassy itakuwa ni ya harrier bila shaka. Nadhani hata performance hazitapishana sana.
Hio v6 iko kwenye Kluger na harrier1MZ-FE?
Shukrani mkuu, maana bado kigugumizi RAV 4 ya kuanzia 2005 kuja juu (2340cc), Harrier tako la Nyani au Kluger. Mpaka Sasa Nina 8,000USDHio v6 iko kwenye Kluger na harrier
Pia baadhi Alphad na CamryHio v6 iko kwenye Kluger na harrier
Pia baadhi Alphad na Camry
Hongera Mkuu mm kila siku najua upo kwenye X-Trail, maana kwa doller's hizo upoShukrani mkuu, maana bado kigugumizi RAV 4 ya kuanzia 2005 kuja juu (2340cc), Harrier tako la Nyani au Kluger. Mpaka Sasa Nina 8,000USD
Mwanaume anaruhusiwa kuendesha hii Gari?
2AZ-FE!1MZ-FE?
Mwanaume anaruhusiwa kuendesha hii Gari?
Mwanaume anaruhusiwa kuendesha hii Gari?
Kama unataka speed mkuu pata benz ,aud, bmw hapo utasahau hivyo vi harrier,but kama upo poa chukua rangeMwanaume anaruhusiwa kuendesha hii Gari?
Control engine ilipata shida
hakuna kitu kinachoitwa control engine na wewe....!!Niliipeleka wakaniambia tatizo control engine dah!
thread za magari, mafundi na madalali siku zote ni za wasioenda shule... 90% wanaongelea spidi, highway ziko wapi za kwenda spidi, Fire - Kimara kupitia Manzese sokoni? Imagine mtu anaanzisha thread hata hajui gari anazoziongelea ni za miaka gani, model sub model gani, jina rasmi gani, hajui[emoji3064][emoji3064][emoji3064]hakuna kitu kinachoitwa control engine na wewe....!!
thread za magari, mafundi na madalali siku zote ni za wasioenda shule... 90% wanaongelea spidi, highway ziko wapi za kwenda spidi, Fire - Kimara kupitia Manzese sokoni? Imagine mtu anaanzisha thread hata hajui gari anazoziongelea ni za miaka gani, model sub model gani, jina rasmi gani, hajui!
Utasikia Prado Mayai, Land Cruiser Daimondi, Fuso Tandamu, Tako la Nyani, Macho ya Panzi, Raum New Model... Gari second generation unaiita new model wakati kuna matoleo matatu katikati?
Hivi wateja wenu ambao hawatokei mitaani uswekeni huko, washua wa Masaki na wadosi wa Upanga ukimwambia tako la nyani mtaelewana? Utamwelezaje wakati hujui Year, Make, Model and Sub Model ya gari?