Maoni yangu kuhusu Makonda, Nape na January Makamba

Maoni yangu kuhusu Makonda, Nape na January Makamba

Mjanjabi

Member
Joined
Aug 6, 2019
Posts
31
Reaction score
20
Mimi katika kazi zangu hata ya kizibua vyoo, Makonda ana mapungufu yake tena sana ila ni kiongozi safi sana na mimi natabiri atakuja kuwa mkubwa sana.

Nape hata kama ningekuwa Rais angenisaidia kufuta vumbi. Fanya chochote nipo upande wa Jemedari.
 
Back
Top Bottom