Maoni yangu kuhusu Sakata la DP World kama mtu niliyewahi kufanya kazi kwenye Bandari ya Dar es Salaam

Kwa nini vijana wanaomaliza vyuo vikuu na vya kati wasichaguliwe na kupelekwa nchi kama Indonesia, Belgium au hata hiyo Dubaï pia wakajifunze kwa mwaka mmoja wakati Serikali ikinunua vifaa na mashine za kisasa, Kama ilivyofanya uwekezaji kwenye shirika la ndege?
Gharama ni kubwa mno zaidi ya 70T,tsh
 
Mkuu Ahsante kwa maoni yako Mimi pia nimebahatika kuwa nakatiza katiza hapo Bandarini kuanzia Gate namba moja mpaka namba tano.

Ni kweli panachangamoto kubwa Sana pale Bandarini hasa mifumo.

Kwa mfano: unaweza kukuta foleni ya maloli ipo karibu na uhasibu gari haziingii Bandarini wala hazitoki kisa unaambiwa TANSIS Hafanyi KAZI kwa sasa IPO SINGLE WINDOW.

Hapo hapo mifumo wao haufanyi KAZI lakini kama ulivyosema hapo juu ukilipia storage charge's Saa mbili asubuhi au Saa tano na dakika 59 usiku ikifika Saa sita kamili mfumo unakataa kulitoa contena lako hapo ni lazima upate wanaita Additional charges ili uweze kutoa containers na kosa sio lako ila TANSIS au SINGLE WINDOW ilistop kufanya KAZI.

Lakini pia pale bandari kuna baadhi ya mizigo hawana vifaa na ndiyo maana Meli iliyopaswa kushusha TPA unaenda kuikuta TICTS na MANIFEST YA TPA mpaka kufanyika Amendment hapo containers zimeingia storage, na muda mwingine ni mara Mia ulipe storage kuliko kuomba WEVA maana utafuatilia kama unaomba kwenda PEPONI.

Changamoto zingine zilikuwa ni bei ila Jana nilikuwa kwenye kikao na TASAC TPA wamefanya amendment ya TARIF yao kwa hiyo tuliitwa wadau kwa ajili ya kujadili hizo bei mpya ambapo kwa containers moja ya

20f ilikuwa 240 wamepunguza mpaka 90

40f ilikuwa 420 mpaka 180
Hizo ni import.

EXPORT
20F 72 USD Kutoka 160
40f 150 USD Kutoka 280

TARIF nzima ukiihitaji inapatikana TASAC iliyofanyiwa marekebisho.

Changamoto ni Nyingi na tunahitaji uwekezaji Kwa Hali na Mali ila usiwe uwekezaji WA kutuumiza WATANZANIA.

Tunahitaji container ikishashushwa procedure zisichukue siku nyingi kulitoa hapo ushirikiano Kati ya taasisi waweke mifumo yao Sawa kuanzia TRA, TBS,TMDA, KILIMO, N.K ili kusiwe na kikwazo kutoa containers.

Kwa mfano kwa sasa kuna huu mfumo WA SINGLE WINDOW umeunganisha mifumo yote humo, utakuta mzigo wako hauhitaji kibali cha TBS AU TMDA AU ATOMIC lakini utakuta unafanya procedure mpaka mwisho TRA kutoa Release order mfumo unakataa utasiki document yako imeshikiliwa na TFS na mzigo wako labda ni WA hospital .

Malalamiko ni mengi hayawezi kuisha ngoja niishie hapa.

TUNAHITAJI WAWEKEZAJI WAJE WAWEKEZE BANDARINI KWETU LAKINI MIKATABA ISIWE YA KINYONYAJI INUFAISHE PANDE ZOTE MBILI.
Safi
 
Na wengi wetu tunalalamikia vipengele vinavyotufunga kwenye mkataba pamoja na ukomo wake. hakuna mtu anaekataa mwekezaji, shida ni masharti magumu na hakuna mlango wa kutokea kama kazi yao itakuwa chini ya kiwango
 
Mdau maelezo mazuri sana .Mungu akubariki.

Hzo changamoto ni common kwa namna yeyote ile aje huyo Dp world au mwingine kama watakuwa na ufanisi angalau matatizo yatapungua.

Yeyote yule akija fresh ishu ni ufanisi kuna storage ni balaa unalipa pesa bila kujielewa unaweza kufikria agent wako anakupiga kumbe kweli,kuna demurrage hizi kutokana na meli kutopakua mzigo ndani ya mda uliopangwa na zinahesabu pesa ndefu haswa ukute berth hamna nafasi kwa vile zingine zinapakua
 
Kumekuwa na mzozo mkubwa kuhusu hii bandari ya Dar es salaam na DP World.

Sio vibaya kuwa na wawekezaji katika nchi lakini tuangalie na mikataba tunayoingia nao, twende mbele turudi nyuma ufanisi wa Bandari ya ya Dar es salaam ni mbovu kupita maelezo yani haufai.

Naongea hivi nikiwa na experience za kutosha naijua bandari vizuri sana kuanzia, magate yote PM yard, TY yard, RORO yard, Marindi yari yani yard zote kila sehemu naijua mm mule mana nilikuwa kama mmoja ya wafanyakazi wa ile bandari nishafanya kazi bandarini kwa muda wa miaka zaidi ya 5 kuanzia 2016 mpaka 2021 naijua sana ile bandari in and out.

Nilifanya kazi pale katika kampuni yetu ile ya mkonge kampuni ya mkonge kwa walioniele wamenielewa na wanaijua kampuni ya mkonge ni kitu gani kazi yangu mm ilikuwa ni kukagua kontena na kuangalia usalama wa bandari na kama wale ma agent wamepakia mizigo mfano nguo zinafanana na za kampuni ya mkonge kazi yetu sisi ilikuwa ni kuzichukua hizo nguo na kuzipeleka mahali husika au kama vitu vinafanana na vya kampuni yetu kwaiyo ninavyoongea nafahamu nini nasema.

Ile bandari ila changamoto nyingi mno kwanza haina vifaa, yani paper use and manual work ni nyingi mno mizigo uchelewa sana na ufanisi ni mdogo mno.

Ufanisi wa kazi ni 0 yani 0 kabisa mfano pale RORO terminal ikisema RORO namanisha sehemu ya bandari ambapo gari zikitoka melini zinaifadhiwa hapo ndo uitwa RORO ukitaka toa gari lako aisee ni changamoto kama una gari 30 aisee utakesha kuzidi mifumo yao ya TEPP ni 0 kabisa yani hopeless mfumo mbovu sijapata kuona.

TEPP ni nini? huu ni mfumo wa bandari wa kukusanyia mapato huu mfumo ni 0 kabisa.

Track Annoucement huu mfumo wao nao pia ni 0 huu ni mfumo gani huu ni mfumo ambao utumika kutolea vibari vya kuingilia na kutokea bandarini huu mfumo aisee ni 0 mana huu mfumo ulivyosetiwa eti ikifika saa 6 usiku ni unaingia storage aijalishi umelipia saa ngapi hii hali upelekea ufanisi kuwa 0 naiekezea hapa chini.

Kuna siku wakati nipo operation zangu kule Bath no 8 kuna TICTS kuna kontena baridi LIFA contena zilikuwa zimefungashiwa vifungashio ambavyo ni vya kampuni yetu ya mkonge sasa tulitakiwa tukavitoe vile vifungashio alooo wale magent wakanza lalamika kwamba iyo siku wata ingia storage mana mzigo manifest unasoma TPA lakini physical upo TICTS nikawauliza ebu niekezeni kwann imekuwa hivyo wakanza nipa maekezo aisee nilichoka.

Ni hivi mzigo meli ili beth pale beth no 8 TICTS lakini ilitakiwa ubeth TPA kwa kuwa TPA hawana vifaa vya kutosha waka udirect TICTS mana kule vifaa ni vingi kwaiyo Physical upo TICTS ila manifest ya TRA upo TPA unatakiwa utoke TICTS ende ukatokee TPA gate no 3 kipindi iko sasa process ya kutoa mzigo hapo gate no 3 ni balaaa mana jamaa uyo agent alisema atalipia iyo siku storage na vingine saa 11 jioni ila anatakiwa awe fasta ametoa mzigo mana saa 6 usiku mfumo wao track announcement unajifunga.

Na Security ndo wamepewa dhamana ya kufungia huo mfumo kwaiyo anakuwa anaingia storage hii kitu ilinishangaza sana nikasema kwann iwe hivyo? yaani ulipie saa 11 jioni alafu saa 6 usiku wafungia eti ni siku mpya why iwe ivyo? kwanini wasiweke masaa 12 baada ya mtu kulipia invoice yake wakasema hata wao washaongea sana juu ya ilo nikasema nifatikie nione mana mm napenda sana jifunza vitu aisee nilivyofatilia nilichoka na hayo majibu.

Nakumbuka pindi iko Bwana MRISHO ni jamaa angu sana alikuwa ndo PRINCIPLE SECURITE MANAGER mtu poa dana muungwana sana now ni MKURUGENZI WA BANDARI YA DAR ES SALAAM nikaenda muuliza alinijibu dah lakini majibu yake hayakunilidhisha nikaamua nipotezee tuu kiukweli ile bandari inatakiwa iboreshwe tena sana.

Mana tukiiboresha itakuwa vizuri zaidi lakini tuangalie na huo mkataba wa hao jamaa DP WORLD, Je unatufaaa? Wawe wawekezaji lakini wasitupe masharti magumu na ya hovyo tusikubali lakini tukubali vipengere vizuri sisi wa Tanzania tunufaike na wao wanufaike taifa lipate maendeleo.

Hivyo napendekeza ivyo vipengele vibaya vya kutaka peleka taifa pabaya vitolewe ili tupate maendeleo.

NB: Vitu vya kurekebishwa ni mfumo wa TEPP, TRACK ANNOUCEMENT na kule watu wa REVENUE BILLING, na RORO terminal nikimanisha waweke mifumo inayorahisisha kazi kwa muda mfupi sana kontena, mzigo au gari imetoka sio mlolongo mrefu kama nini.
Umeandika vizuri tu, ila kutokana na sensitivity ya Bandari kiuchumi na kiusalama ni vizuri kwanza tukaunda timu ya wabobezi itushauri namna ya kuongeza ufanisi bandarini huku uchumi na usalama ukiwa top priority.

Pia tusitoe mandate ya muwekezaji au port management kuzifikia bandari zingine bila utaratibu utaozingatia terms of reference zitakazowekwa na wataalam wetu.

Ni vizuri strategic planning za rasilimali zetu tuzipange kwa mpango wa muda mrefu at least 20 yrs bila interference yoyote.
 
Mitanzania siyo mizalendo ht uisomeshe mbinguni itaharibu kazi tu!!
 
Na ndege nazo tutakuja kuwapa wageni kama ilivyokuwa hapo mwanzo na mambo yatakuwa mabaya na watu hawataamini.
Yaani ATCL ndiyo ilipaswa kubinafsishwa kwanza kabla ya bandari. Ukitaka kujua sababu yangu linganisha kipindi cha Fast Jet kwenye punctuality na nauli halafu iniambie kama kuwa na ATCL kina tija kwa mwananchi.

Ila kama hujawahi kusafiri kwa ndege huwezi kunielewa, utashangilia tu kuwa na ATCL
 
Kumekuwa na mzozo mkubwa kuhusu hii bandari ya Dar es salaam na DP World.

Sio vibaya kuwa na wawekezaji katika nchi lakini tuangalie na mikataba tunayoingia nao, twende mbele turudi nyuma ufanisi wa Bandari ya ya Dar es salaam ni mbovu kupita maelezo yani haufai.

Naongea hivi nikiwa na experience za kutosha naijua bandari vizuri sana kuanzia, magate yote PM yard, TY yard, RORO yard, Marindi yari yani yard zote kila sehemu naijua mm mule mana nilikuwa kama mmoja ya wafanyakazi wa ile bandari nishafanya kazi bandarini kwa muda wa miaka zaidi ya 5 kuanzia 2016 mpaka 2021 naijua sana ile bandari in and out.

Nilifanya kazi pale katika kampuni yetu ile ya mkonge kampuni ya mkonge kwa walioniele wamenielewa na wanaijua kampuni ya mkonge ni kitu gani kazi yangu mm ilikuwa ni kukagua kontena na kuangalia usalama wa bandari na kama wale ma agent wamepakia mizigo mfano nguo zinafanana na za kampuni ya mkonge kazi yetu sisi ilikuwa ni kuzichukua hizo nguo na kuzipeleka mahali husika au kama vitu vinafanana na vya kampuni yetu kwaiyo ninavyoongea nafahamu nini nasema.

Ile bandari ila changamoto nyingi mno kwanza haina vifaa, yani paper use and manual work ni nyingi mno mizigo uchelewa sana na ufanisi ni mdogo mno.

Ufanisi wa kazi ni 0 yani 0 kabisa mfano pale RORO terminal ikisema RORO namanisha sehemu ya bandari ambapo gari zikitoka melini zinaifadhiwa hapo ndo uitwa RORO ukitaka toa gari lako aisee ni changamoto kama una gari 30 aisee utakesha kuzidi mifumo yao ya TEPP ni 0 kabisa yani hopeless mfumo mbovu sijapata kuona.

TEPP ni nini? huu ni mfumo wa bandari wa kukusanyia mapato huu mfumo ni 0 kabisa.

Track Annoucement huu mfumo wao nao pia ni 0 huu ni mfumo gani huu ni mfumo ambao utumika kutolea vibari vya kuingilia na kutokea bandarini huu mfumo aisee ni 0 mana huu mfumo ulivyosetiwa eti ikifika saa 6 usiku ni unaingia storage aijalishi umelipia saa ngapi hii hali upelekea ufanisi kuwa 0 naiekezea hapa chini.

Kuna siku wakati nipo operation zangu kule Bath no 8 kuna TICTS kuna kontena baridi LIFA contena zilikuwa zimefungashiwa vifungashio ambavyo ni vya kampuni yetu ya mkonge sasa tulitakiwa tukavitoe vile vifungashio alooo wale magent wakanza lalamika kwamba iyo siku wata ingia storage mana mzigo manifest unasoma TPA lakini physical upo TICTS nikawauliza ebu niekezeni kwann imekuwa hivyo wakanza nipa maekezo aisee nilichoka.

Ni hivi mzigo meli ili beth pale beth no 8 TICTS lakini ilitakiwa ubeth TPA kwa kuwa TPA hawana vifaa vya kutosha waka udirect TICTS mana kule vifaa ni vingi kwaiyo Physical upo TICTS ila manifest ya TRA upo TPA unatakiwa utoke TICTS ende ukatokee TPA gate no 3 kipindi iko sasa process ya kutoa mzigo hapo gate no 3 ni balaaa mana jamaa uyo agent alisema atalipia iyo siku storage na vingine saa 11 jioni ila anatakiwa awe fasta ametoa mzigo mana saa 6 usiku mfumo wao track announcement unajifunga.

Na Security ndo wamepewa dhamana ya kufungia huo mfumo kwaiyo anakuwa anaingia storage hii kitu ilinishangaza sana nikasema kwann iwe hivyo? yaani ulipie saa 11 jioni alafu saa 6 usiku wafungia eti ni siku mpya why iwe ivyo? kwanini wasiweke masaa 12 baada ya mtu kulipia invoice yake wakasema hata wao washaongea sana juu ya ilo nikasema nifatikie nione mana mm napenda sana jifunza vitu aisee nilivyofatilia nilichoka na hayo majibu.

Nakumbuka pindi iko Bwana MRISHO ni jamaa angu sana alikuwa ndo PRINCIPLE SECURITE MANAGER mtu poa dana muungwana sana now ni MKURUGENZI WA BANDARI YA DAR ES SALAAM nikaenda muuliza alinijibu dah lakini majibu yake hayakunilidhisha nikaamua nipotezee tuu kiukweli ile bandari inatakiwa iboreshwe tena sana.

Mana tukiiboresha itakuwa vizuri zaidi lakini tuangalie na huo mkataba wa hao jamaa DP WORLD, Je unatufaaa? Wawe wawekezaji lakini wasitupe masharti magumu na ya hovyo tusikubali lakini tukubali vipengere vizuri sisi wa Tanzania tunufaike na wao wanufaike taifa lipate maendeleo.

Hivyo napendekeza ivyo vipengele vibaya vya kutaka peleka taifa pabaya vitolewe ili tupate maendeleo.

NB: Vitu vya kurekebishwa ni mfumo wa TEPP, TRACK ANNOUCEMENT na kule watu wa REVENUE BILLING, na RORO terminal nikimanisha waweke mifumo inayorahisisha kazi kwa muda mfupi sana kontena, mzigo au gari imetoka sio mlolongo mrefu kama nini.
Inatakiwa mifumo ipigwe bomu ife kabisa ianze upya.
 
DP world kama anafaa hiyo ni sawa, ila vipengele vya kuiuza Tanganyika milele viondolewe
 
Kwa nini vijana wanaomaliza vyuo vikuu na vya kati wasichaguliwe na kupelekwa nchi kama Indonesia, Belgium au hata hiyo Dubaï pia wakajifunze kwa mwaka mmoja wakati Serikali ikinunua vifaa na mashine za kisasa, Kama ilivyofanya uwekezaji kwenye shirika la ndege?

unafikiri ni rahisi kiivo mkuu?

Na pia tatizo kuu la nchi yetu ni nidhamu ya kazi na sio elimu.
 
Kama tunashindwa kuendesha bandari basi hatuna serikali , Sawa huenda tumeamua kumweka mwekezaji lakini kama tunaingia mikataba ya namna Ile basi hii nchi imelaaaniwa
Hivi nikitu gani tumewahi kuendesha kwa ufanisi nataka uweke shirika moja la tu, hakuna kazi rahisi kama Bima lakini tumelimaliza. Issue sio serikali sisi wa Tz tunashida katika uadilifu wa kazi sio serikalini tu hata private sector tunashida kubwa. Wewe ukiajiri mtu ujue tu kubali kupigwa. Bandari kuna usumbufu pale utasema unaomba kazi wafanyakazi wanatembea kwa maringo na vitambulisho vyao utasema wameshushwa toka mbinguni. Angalizo tu hakuna serikali yoyote wanaweza ila mifumo ndio inaweza kuwabana au kupunguza urasimu. Sasa issue ya mikataba inasomaje hayo ndio yajadiliwe na lipatikane suluhu, lakini kusema eti tuendeshe wenyewe tutalia. Tulikuwa na UDA ma bus wakepewa wao tu ndio wafanye kazi lakini ufanisi zero wakauwa kila kitu zero profit.
 
unafikiri ni rahisi kiivo mkuu?

Na pia tatizo kuu la nchi yetu ni nidhamu ya kazi na sio elimu.
Mkuu, Nini kinashindikana wakati miaka ya nyuma hasa awamu ya kwanza iliwezekana?
Mbona baada ya uhuru, walitumwa watanzania uingereza kusomea udaktari na waliporudi miaka ya 70, ndio waliokuja kuendeiendesha Muhimbili?
Madaktari 10 wa mwanzo wa taifa kwenye hospitali ya taifa Muhimbili walitumwa kusoma kwa ajili ya taifa!.
Mifano ipo: Dr Chiduo, Dr Kasambala, Dr Kumpuni, Dr Kombe na kina Prof Salungi na wengineo.
 
Mkuu Ahsante kwa maoni yako Mimi pia nimebahatika kuwa nakatiza katiza hapo Bandarini kuanzia Gate namba moja mpaka namba tano.

Ni kweli panachangamoto kubwa Sana pale Bandarini hasa mifumo.

Kwa mfano: unaweza kukuta foleni ya maloli ipo karibu na uhasibu gari haziingii Bandarini wala hazitoki kisa unaambiwa TANSIS Hafanyi KAZI kwa sasa IPO SINGLE WINDOW.

Hapo hapo mifumo wao haufanyi KAZI lakini kama ulivyosema hapo juu ukilipia storage charge's Saa mbili asubuhi au Saa tano na dakika 59 usiku ikifika Saa sita kamili mfumo unakataa kulitoa contena lako hapo ni lazima upate wanaita Additional charges ili uweze kutoa containers na kosa sio lako ila TANSIS au SINGLE WINDOW ilistop kufanya KAZI.

Lakini pia pale bandari kuna baadhi ya mizigo hawana vifaa na ndiyo maana Meli iliyopaswa kushusha TPA unaenda kuikuta TICTS na MANIFEST YA TPA mpaka kufanyika Amendment hapo containers zimeingia storage, na muda mwingine ni mara Mia ulipe storage kuliko kuomba WEVA maana utafuatilia kama unaomba kwenda PEPONI.

Changamoto zingine zilikuwa ni bei ila Jana nilikuwa kwenye kikao na TASAC TPA wamefanya amendment ya TARIF yao kwa hiyo tuliitwa wadau kwa ajili ya kujadili hizo bei mpya ambapo kwa containers moja ya

20f ilikuwa 240 wamepunguza mpaka 90

40f ilikuwa 420 mpaka 180
Hizo ni import.

EXPORT
20F 72 USD Kutoka 160
40f 150 USD Kutoka 280

TARIF nzima ukiihitaji inapatikana TASAC iliyofanyiwa marekebisho.

Changamoto ni Nyingi na tunahitaji uwekezaji Kwa Hali na Mali ila usiwe uwekezaji WA kutuumiza WATANZANIA.

Tunahitaji container ikishashushwa procedure zisichukue siku nyingi kulitoa hapo ushirikiano Kati ya taasisi waweke mifumo yao Sawa kuanzia TRA, TBS,TMDA, KILIMO, N.K ili kusiwe na kikwazo kutoa containers.

Kwa mfano kwa sasa kuna huu mfumo WA SINGLE WINDOW umeunganisha mifumo yote humo, utakuta mzigo wako hauhitaji kibali cha TBS AU TMDA AU ATOMIC lakini utakuta unafanya procedure mpaka mwisho TRA kutoa Release order mfumo unakataa utasiki document yako imeshikiliwa na TFS na mzigo wako labda ni WA hospital .

Malalamiko ni mengi hayawezi kuisha ngoja niishie hapa.

TUNAHITAJI WAWEKEZAJI WAJE WAWEKEZE BANDARINI KWETU LAKINI MIKATABA ISIWE YA KINYONYAJI INUFAISHE PANDE ZOTE MBILI.
Sasa hapo tatizo si mifumo ya tra
 
Sasa hapo tatizo si mifumo ya tra
Kote kuna changamoto mkuu, kuanzia TRA mpaka huko TPA .

Na ndiyo maana tunasema wakirekebisha mfumo wa TPA wasisahau wa TRA, TBS , ATMIS na mifumo mingine.

Maana TPA wanaweza wakashusha meli nzima kwa masaa sita TRA wakaja kukukwamisha au TBS

Na mwisho tunasema hatukatai mwekezaji ila pande zote mbili zinufaike
 
Umesema vizuri. Huduma nyingi ni mbovu sana. Na watu wamegeuka miungu watu na kuwa na ukiritimba na urasimu usio na maana bado hatuajaweza kutoa huduma zinazoridhisha.

Sio maji, sio umeme, sio huduma za simu, sio za internet, na mifumo ya hospitali haiwezi kutoa huduma kwa kiwango cha kuridhisha.

Hivyo faida tutakayopata wenye uwezo wakiwekeza kwetu ni pamoja na huduma kutolewa vyema. Kuhusu mkataba hilo sizungumzii leo.
 
Sisi shida yetu ni mkataba mbovu! Ni bora tuendelee kupata huduma mbovu kuliko kusaini mkataba wa hovyo.
 
Kumekuwa na mzozo mkubwa kuhusu hii bandari ya Dar es salaam na DP World.

Sio vibaya kuwa na wawekezaji katika nchi lakini tuangalie na mikataba tunayoingia nao, twende mbele turudi nyuma ufanisi wa Bandari ya ya Dar es salaam ni mbovu kupita maelezo yani haufai.

Naongea hivi nikiwa na experience za kutosha naijua bandari vizuri sana kuanzia, magate yote PM yard, TY yard, RORO yard, Marindi yari yani yard zote kila sehemu naijua mm mule mana nilikuwa kama mmoja ya wafanyakazi wa ile bandari nishafanya kazi bandarini kwa muda wa miaka zaidi ya 5 kuanzia 2016 mpaka 2021 naijua sana ile bandari in and out.

Nilifanya kazi pale katika kampuni yetu ile ya mkonge kampuni ya mkonge kwa walioniele wamenielewa na wanaijua kampuni ya mkonge ni kitu gani kazi yangu mm ilikuwa ni kukagua kontena na kuangalia usalama wa bandari na kama wale ma agent wamepakia mizigo mfano nguo zinafanana na za kampuni ya mkonge kazi yetu sisi ilikuwa ni kuzichukua hizo nguo na kuzipeleka mahali husika au kama vitu vinafanana na vya kampuni yetu kwaiyo ninavyoongea nafahamu nini nasema.

Ile bandari ila changamoto nyingi mno kwanza haina vifaa, yani paper use and manual work ni nyingi mno mizigo uchelewa sana na ufanisi ni mdogo mno.

Ufanisi wa kazi ni 0 yani 0 kabisa mfano pale RORO terminal ikisema RORO namanisha sehemu ya bandari ambapo gari zikitoka melini zinaifadhiwa hapo ndo uitwa RORO ukitaka toa gari lako aisee ni changamoto kama una gari 30 aisee utakesha kuzidi mifumo yao ya TEPP ni 0 kabisa yani hopeless mfumo mbovu sijapata kuona.

TEPP ni nini? huu ni mfumo wa bandari wa kukusanyia mapato huu mfumo ni 0 kabisa.

Track Annoucement huu mfumo wao nao pia ni 0 huu ni mfumo gani huu ni mfumo ambao utumika kutolea vibari vya kuingilia na kutokea bandarini huu mfumo aisee ni 0 mana huu mfumo ulivyosetiwa eti ikifika saa 6 usiku ni unaingia storage aijalishi umelipia saa ngapi hii hali upelekea ufanisi kuwa 0 naiekezea hapa chini.

Kuna siku wakati nipo operation zangu kule Bath no 8 kuna TICTS kuna kontena baridi LIFA contena zilikuwa zimefungashiwa vifungashio ambavyo ni vya kampuni yetu ya mkonge sasa tulitakiwa tukavitoe vile vifungashio alooo wale magent wakanza lalamika kwamba iyo siku wata ingia storage mana mzigo manifest unasoma TPA lakini physical upo TICTS nikawauliza ebu niekezeni kwann imekuwa hivyo wakanza nipa maekezo aisee nilichoka.

Ni hivi mzigo meli ili beth pale beth no 8 TICTS lakini ilitakiwa ubeth TPA kwa kuwa TPA hawana vifaa vya kutosha waka udirect TICTS mana kule vifaa ni vingi kwaiyo Physical upo TICTS ila manifest ya TRA upo TPA unatakiwa utoke TICTS ende ukatokee TPA gate no 3 kipindi iko sasa process ya kutoa mzigo hapo gate no 3 ni balaaa mana jamaa uyo agent alisema atalipia iyo siku storage na vingine saa 11 jioni ila anatakiwa awe fasta ametoa mzigo mana saa 6 usiku mfumo wao track announcement unajifunga.

Na Security ndo wamepewa dhamana ya kufungia huo mfumo kwaiyo anakuwa anaingia storage hii kitu ilinishangaza sana nikasema kwann iwe hivyo? yaani ulipie saa 11 jioni alafu saa 6 usiku wafungia eti ni siku mpya why iwe ivyo? kwanini wasiweke masaa 12 baada ya mtu kulipia invoice yake wakasema hata wao washaongea sana juu ya ilo nikasema nifatikie nione mana mm napenda sana jifunza vitu aisee nilivyofatilia nilichoka na hayo majibu.

Nakumbuka pindi iko Bwana MRISHO ni jamaa angu sana alikuwa ndo PRINCIPLE SECURITE MANAGER mtu poa dana muungwana sana now ni MKURUGENZI WA BANDARI YA DAR ES SALAAM nikaenda muuliza alinijibu dah lakini majibu yake hayakunilidhisha nikaamua nipotezee tuu kiukweli ile bandari inatakiwa iboreshwe tena sana.

Mana tukiiboresha itakuwa vizuri zaidi lakini tuangalie na huo mkataba wa hao jamaa DP WORLD, Je unatufaaa? Wawe wawekezaji lakini wasitupe masharti magumu na ya hovyo tusikubali lakini tukubali vipengere vizuri sisi wa Tanzania tunufaike na wao wanufaike taifa lipate maendeleo.

Hivyo napendekeza ivyo vipengele vibaya vya kutaka peleka taifa pabaya vitolewe ili tupate maendeleo.

NB: Vitu vya kurekebishwa ni mfumo wa TEPP, TRACK ANNOUCEMENT na kule watu wa REVENUE BILLING, na RORO terminal nikimanisha waweke mifumo inayorahisisha kazi kwa muda mfupi sana kontena, mzigo au gari imetoka sio mlolongo mrefu kama nini.
Cartels za TEC ndo zinanufaika na haya mambo na wezi wachache wanaotaka kutumiq udhaifu huu kuendelea kuiibia nchi yetu fedha na mapato mengi.
 
Sisi shida yetu ni mkataba mbovu! Ni bora tuendelee kupata huduma mbovu kuliko kusaini mkataba wa hovyo.
Mkataba una u hovyo gani? Mnaonesha jinsi gani mnavyotaka nchi hii iendelee kuwa nyuma ili mjinufaishe hapo Bandarini. Mmeula vya chuya. Serikali imeshafanya maamuzi na hakuna kurudi nyuma
 
Back
Top Bottom