Ukiangalia michezo ya ligi inayoendelea nchini ikichezeshwa na marefa wanawake mtaniunga mkono. Ukweli marefa hawa wanashindwa kabisa kusimamia zile Sheria 17 uwanjani na wamegeuka kuwa sehemu ya wasababisha makosa.
TFF iachane nao na Kama bado wanawahitaji wapewe mechi za madaraka ya chini ili wajikomaze. Wanaharibu burudani kwa makusudi na ni waoga.
TFF iachane nao na Kama bado wanawahitaji wapewe mechi za madaraka ya chini ili wajikomaze. Wanaharibu burudani kwa makusudi na ni waoga.