Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Hao jamaa wanapewa sifa wasizostahili, ni wapuuzi kama wapuuzi wa kwenye taasisi nyingine za nchi hii..............things are happening spontaneously........yahani hawajuwi tofauti ya CCM na taifa.Watakunanga lakini umenena ukweli tupu . ila ujue Taifa lilipofikia neno usalama wa Taifa ni rahisi kulitamka ila kiukweli hii Tasisi ipo kulinda maslahi ya Chama fulani iwe jua au mvua.
Kama unataka kuongelea Taifa sahau. Ufisadi mkubwa mkubwa ukiwemo aliotaja Mkapa kwenye Kitabu chake jiulize usalama walikuepo ama hawakuepo?
Angalia uchaguzi ulivoendeshwa kura ziko kwenye migongo ya mabegi ya manjata je usalama wapo au hawapo?
Angalia madudu yote ya ufisadi mbali mbali je usalama upo ama?
Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
Ni kwasababu huyo Gwaji Uno ni mchekeshaji wa mfalme.Halafu kwanini Msukuma Gwajima ndio aongee kwa niaba ya wabunge ?
Busara zilichanganyika na kuchanganyikiwa ,kila siku anatabiri hayatokeiMkuu tangu wamekuweka nje ya game kama umekua na busara hivi.
waweja.Gwajima tutaipiga nyumba yake kibiriti nyie sikilizeni tu
Kuhusisha usalama waTaifa na masuala haya madogo madogo ni upotoshaji wa makusudi.Usalama wa Taifa unalo jukumu kubwa la kusimamia maslahi mapana ya nchi ndani na nje ya mipaka yake na megine mengi makubwa ambayo Mimi na wewe hutuyafahamu. hakuna unachoweza kuona ambacho hakijaonwa, hakuna unachoweza kusikia ambacho hakijasikia na hakuna unachoweza kuhisi ambacho hakijahisika, ndiyo maana unapata nafasi ya kukaa nyuma ya keyboard na kuandika ulichokiandika kwa Amani na utulivu.Watakunanga lakini umenena ukweli tupu . ila ujue Taifa lilipofikia neno usalama wa Taifa ni rahisi kulitamka ila kiukweli hii Tasisi ipo kulinda maslahi ya Chama fulani iwe jua au mvua.
Kama unataka kuongelea Taifa sahau. Ufisadi mkubwa mkubwa ukiwemo aliotaja Mkapa kwenye Kitabu chake jiulize usalama walikuepo ama hawakuepo?
Angalia uchaguzi ulivoendeshwa kura ziko kwenye migongo ya mabegi ya manjata je usalama wapo au hawapo?
Angalia madudu yote ya ufisadi mbali mbali je usalama upo ama?
Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
Nilposoma "Pana Africa "nikajua Pana Fikra yakini "kumbe Loh!!Yaani wewe Ufisadi aliojutia Rais mstaafu ni mambo madg madg.. ??Kuhusisha usalama waTaifa na masuala haya madogo madogo ni upotoshaji wa makusudi.Usalama wa Taifa unalo jukumu kubwa la kusimamia maslahi mapana ya nchi ndani na nje ya mipaka yake na megine mengi makubwa ambayo Mimi na wewe hutuyafahamu. hakuna unachoweza kuona ambacho hakijaonwa, hakuna unachoweza kusikia ambacho hakijasikia na hakuna unachoweza kuhisi ambacho hakijahisika, ndiyo maana unapata nafasi ya kukaa nyuma ya keyboard na kuandika ulichokiandika kwa Amani na utulivu.
Mleta Uzi umeandika kwa kujivika uzalendo ila ulichokiandika ni upotoshaji wenye viashiria vya uchochezi!
Matumizi ya neno mbwa siyo mageni na wala hayalengi kudhalilisha kundi lolote lile, ila wanasisa kwa makusudi mazima huyatumia kupotosha ili kukidhi malengo yao ya kisiasa.
Mfano mwaka1995 Hayati Baba wa Taifa Mwl.Nyerere akimnadi mgombea wa CCM wa wakati huo Hayati Benjamin mkapa aliwahi kusema"I CANNOT LET MY COUNTRY GO TO THE DOGS" akimaanisha kuwa hawezi kuruhusu nchi yake kuangukia katika mikono isiyo salama, kwa maana ya msemo huo wa kiingereza.Mabere Marando Katibu mkuu wa NCCR wa wakati huo, msomi, mwekedi na mweye fani yake, kwa makusudi mazuma alilibebea bango neno hilo kuwa Mwalimu kasema wapinzani wote ni mbwax ila watanzania ni waelewa walimpuuza.Mbunge Nkamia pia aliwahi tumia neno mbwa Yakima akimaanisha kuwa anaongea na mweye mamlaka na si vinginevyo;
Kwa lengo la upotishaji wabunge wa upizani wakalivalia njuga kuwa kawadhalilisha kuwa wapinzani wote ni mbwa, ila watanzania kwa uelewa wao wakapuuza,kwa hiyo na hili la Askofu Gwajima siyo geni maskioni mwa watanzania, endeleeni kupotosha ila jueni kuwa watanzania ni welevu na wataendelea kuwapuuza.Uchaguzi umekwisha tufanye kazi tujenge nchi kwa maslahi mapana ya kizazi cha sasa na kijacho.
"Give dog a bad and hang him1"Rwanda kabla ya kuuana, walianza kuitana "cocroaches".
Ukishamuita mtu "Cocroach" au "Mbwa", hata kumuua ni rahisi.
Umeshamtoa utu wake, umemuweka sawa na mende au mbwa.
Kwa nini kwenye kanuni za bunge kuna msemo huu "maneno ya kuudhi"?????Kuhusisha usalama waTaifa na masuala haya madogo madogo ni upotoshaji wa makusudi.Usalama wa Taifa unalo jukumu kubwa la kusimamia maslahi mapana ya nchi ndani na nje ya mipaka yake na megine mengi makubwa ambayo Mimi na wewe hutuyafahamu. hakuna unachoweza kuona ambacho hakijaonwa, hakuna unachoweza kusikia ambacho hakijasikia na hakuna unachoweza kuhisi ambacho hakijahisika, ndiyo maana unapata nafasi ya kukaa nyuma ya keyboard na kuandika ulichokiandika kwa Amani na utulivu.