Maoni yangu kwa Vyombo vya Usalama

Maoni yangu kwa Vyombo vya Usalama

Gwajima hana hadhi hata ya kuwa baba wa familia achilia mbali uchungaji na ubunge.

Ni mtu wa hovyo sana.
 
Umewasifia nikajua uyaendelea hivyo hivyo mpaka mwisho nashangaa katikati tu story imebadilika.

Sasa kama kuna huo upungufu ina maana hiyo idara hawastahili sifa zote ulizowapa.
 
Watakunanga lakini umenena ukweli tupu . ila ujue Taifa lilipofikia neno usalama wa Taifa ni rahisi kulitamka ila kiukweli hii Tasisi ipo kulinda maslahi ya Chama fulani iwe jua au mvua.

Kama unataka kuongelea Taifa sahau. Ufisadi mkubwa mkubwa ukiwemo aliotaja Mkapa kwenye Kitabu chake jiulize usalama walikuepo ama hawakuepo?

Angalia uchaguzi ulivoendeshwa kura ziko kwenye migongo ya mabegi ya manjata je usalama wapo au hawapo?

Angalia madudu yote ya ufisadi mbali mbali je usalama upo ama?

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
Hao jamaa wanapewa sifa wasizostahili, ni wapuuzi kama wapuuzi wa kwenye taasisi nyingine za nchi hii..............things are happening spontaneously........yahani hawajuwi tofauti ya CCM na taifa.
 
Watakunanga lakini umenena ukweli tupu . ila ujue Taifa lilipofikia neno usalama wa Taifa ni rahisi kulitamka ila kiukweli hii Tasisi ipo kulinda maslahi ya Chama fulani iwe jua au mvua.

Kama unataka kuongelea Taifa sahau. Ufisadi mkubwa mkubwa ukiwemo aliotaja Mkapa kwenye Kitabu chake jiulize usalama walikuepo ama hawakuepo?

Angalia uchaguzi ulivoendeshwa kura ziko kwenye migongo ya mabegi ya manjata je usalama wapo au hawapo?

Angalia madudu yote ya ufisadi mbali mbali je usalama upo ama?

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
Kuhusisha usalama waTaifa na masuala haya madogo madogo ni upotoshaji wa makusudi.Usalama wa Taifa unalo jukumu kubwa la kusimamia maslahi mapana ya nchi ndani na nje ya mipaka yake na megine mengi makubwa ambayo Mimi na wewe hutuyafahamu. hakuna unachoweza kuona ambacho hakijaonwa, hakuna unachoweza kusikia ambacho hakijasikia na hakuna unachoweza kuhisi ambacho hakijahisika, ndiyo maana unapata nafasi ya kukaa nyuma ya keyboard na kuandika ulichokiandika kwa Amani na utulivu.
Mleta Uzi umeandika kwa kujivika uzalendo ila ulichokiandika ni upotoshaji wenye viashiria vya uchochezi!
Matumizi ya neno mbwa siyo mageni na wala hayalengi kudhalilisha kundi lolote lile, ila wanasisa kwa makusudi mazima huyatumia kupotosha ili kukidhi malengo yao ya kisiasa.
Mfano mwaka1995 Hayati Baba wa Taifa Mwl.Nyerere akimnadi mgombea wa CCM wa wakati huo Hayati Benjamin mkapa aliwahi kusema"I CANNOT LET MY COUNTRY GO TO THE DOGS" akimaanisha kuwa hawezi kuruhusu nchi yake kuangukia katika mikono isiyo salama, kwa maana ya msemo huo wa kiingereza.Mabere Marando Katibu mkuu wa NCCR wa wakati huo, msomi, mwekedi na mweye fani yake, kwa makusudi mazuma alilibebea bango neno hilo kuwa Mwalimu kasema wapinzani wote ni mbwax ila watanzania ni waelewa walimpuuza.Mbunge Nkamia pia aliwahi tumia neno mbwa Yakima akimaanisha kuwa anaongea na mweye mamlaka na si vinginevyo;
Kwa lengo la upotishaji wabunge wa upizani wakalivalia njuga kuwa kawadhalilisha kuwa wapinzani wote ni mbwa, ila watanzania kwa uelewa wao wakapuuza,kwa hiyo na hili la Askofu Gwajima siyo geni maskioni mwa watanzania, endeleeni kupotosha ila jueni kuwa watanzania ni welevu na wataendelea kuwapuuza.Uchaguzi umekwisha tufanye kazi tujenge nchi kwa maslahi mapana ya kizazi cha sasa na kijacho.
 
Nilposoma "Pana Africa "nikajua Pana Fikra yakini "kumbe Loh!!Yaani wewe Ufisadi aliojutia Rais mstaafu ni mambo madg madg.. ??

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Rwanda kabla ya kuuana, walianza kuitana "cocroaches".

Ukishamuita mtu "Cocroach" au "Mbwa", hata kumuua ni rahisi.

Umeshamtoa utu wake, umemuweka sawa na mende au mbwa.
"Give dog a bad and hang him1"
 
Kuhusisha usalama waTaifa na masuala haya madogo madogo ni upotoshaji wa makusudi.Usalama wa Taifa unalo jukumu kubwa la kusimamia maslahi mapana ya nchi ndani na nje ya mipaka yake na megine mengi makubwa ambayo Mimi na wewe hutuyafahamu. hakuna unachoweza kuona ambacho hakijaonwa, hakuna unachoweza kusikia ambacho hakijasikia na hakuna unachoweza kuhisi ambacho hakijahisika, ndiyo maana unapata nafasi ya kukaa nyuma ya keyboard na kuandika ulichokiandika kwa Amani na utulivu.
Mleta Uzi umeandika kwa kujivika uzalendo ila ulichokiandika ni upotoshaji wenye viashiria vya uchochezi!
Matumizi ya neno mbwa siyo mageni na wala hayalengi kudhalilisha kundi lolote lile, ila wanasisa kwa makusudi mazima huyatumia kupotosha ili kukidhi malengo yao ya kisiasa.
Mfano mwaka1995 Hayati Baba wa Taifa Mwl.Nyerere akimnadi mgombea wa CCM wa wakati huo Hayati Benjamin mkapa aliwahi kusema"I CANNOT LET MY COUNTRY GO TO THE DOGS" akimaanisha kuwa hawezi kuruhusu nchi yake kuangukia katika mikono isiyo salama, kwa maana ya msemo huo wa kiingereza.Mabere Marando Katibu mkuu wa NCCR wa wakati huo, msomi, mwekedi na mweye fani yake, kwa makusudi mazuma alilibebea bango neno hilo kuwa Mwalimu kasema wapinzani wote ni mbwax ila watanzania ni waelewa walimpuuza.Mbunge Nkamia pia aliwahi tumia neno mbwa Yakima akimaanisha kuwa anaongea na mweye mamlaka na si vinginevyo;
Kwa lengo la upotishaji wabunge wa upizani wakalivalia njuga kuwa kawadhalilisha kuwa wapinzani wote ni mbwa, ila watanzania kwa uelewa wao wakapuuza,kwa hiyo na hili la Askofu Gwajima siyo geni maskioni mwa watanzania, endeleeni kupotosha ila jueni kuwa watanzania ni welevu na wataendelea kuwapuuza.Uchaguzi umekwisha tufanye kazi tujenge nchi kwa maslahi mapana ya kizazi cha sasa na kijacho.
Kwa nini kwenye kanuni za bunge kuna msemo huu "maneno ya kuudhi"?????
Wanaopiga kelele kuhusu uchaguzi ni wapinzani na naamini Gwajima hawezi kutumia usemi huo kwa CCM wenziwe.
Na hata Mwalimu Nyerereasingweza kuutumia usemi huo kwa wenziwe.
 
Back
Top Bottom