Maoni yangu kwa waandishi wa habari

HMJ

Senior Member
Joined
Apr 24, 2013
Posts
157
Reaction score
21
Nashauri wawe wanatembelea kwenye taasisi za Serikali kama vyuo vya ualimu waangalie hali halisi ya mafunzo badala ya kuandika habari za kisiasa tu.

Walimu wa daraja 3A kwa mwaka wa kwanza walienda kwenye mafunzo ya ufundishaji kwa vitendo(BTP) wiki 3 tu badala miezi 2 na kwa mwaka wa 2 wanatakiwa waende miezi 2.

Hadi sasa Wizara haijatoa tamko lolote lile na wanachuo hao wanataraji kuanza mitihani ya kuhitimu tarehe 4/5/2015
 
Hatar hatar hatar! wanaandika sana sema we ndo ufwatiliag tu..

ni jeur tu ya watu wachache ndan ya serikal ya watendaj wabovu..

and money, money and money
 
Hatar hatar hatar! wanaandika sana sema we ndo ufwatiliag tu..

ni jeur tu ya watu wachache ndan ya serikal ya watendaj wabovu..

and money, money and money

nimekusoma mkuu
 
Majangaaah!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…