HMJ
Senior Member
- Apr 24, 2013
- 157
- 21
Nashauri wawe wanatembelea kwenye taasisi za Serikali kama vyuo vya ualimu waangalie hali halisi ya mafunzo badala ya kuandika habari za kisiasa tu.
Walimu wa daraja 3A kwa mwaka wa kwanza walienda kwenye mafunzo ya ufundishaji kwa vitendo(BTP) wiki 3 tu badala miezi 2 na kwa mwaka wa 2 wanatakiwa waende miezi 2.
Hadi sasa Wizara haijatoa tamko lolote lile na wanachuo hao wanataraji kuanza mitihani ya kuhitimu tarehe 4/5/2015