Nina wasiwasi sana na nafasi ya Aucho, tuwaombelee Yanga watembee bahati/nyota/upepo wabebe ubingwa wa CAFCCL 2023 na kuiheshimisha TZ.USM ALGER ni sawa tu na Rivers ushindi nje nje
Ukiwaombea wewe inatosha Mkuu si wengine ni watazamaji tu.Nina wasiwasi sana na nafasi ya Aucho, tuwaombee Yanga watembee bahati/nyota/upepo wabebe ubingwa wa CAFCCL 2023 na kuiheshimisha TZ.
Mungu ibariki Young Africans, Mungu ibariki Tanzania.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Nimepitia kidogo kupima upepo kwenye page ya USM Alger mashabiki wao wanasema Yanga INA ukuta mgumu sana na hivyo wananchi nanyi vimbeni mashabiki wa USM Alger nao kichwa kinawauma kuhusu ukuta wa Yanga.Kila nikifunga macho yangu sioni chochote kabisa ila ninaomba tu timu yetu.
Wawe makini Na mipira ya juu maana USM Alger ni wazuri zaidi kwenye mipira ya juu
Jinsi ya kucheza Na watu kama Hawa ni wakuwaweka pression kubwa langoni kwao kwa mpira wa kasi ili wasipate nafasi ya kupanda juu kuja kushambulia kwa wingi
Yanga wanacheza mpira mzuri zaidi ya USM Alger yanga wana wachezaji wenye kasi kubwa saana zaidi ya USM Alger
Moja ya shabiki wa Simba ambaye huwa una takwimu ni weweUSM ALGER ni sawa tu na Rivers ushindi nje nje
We hiyo comment ni yanguNimepitia kidogo kupima upepo kwenye page ya USM Alger mashabiki wao wanasema Yanga INA ukuta mgumu sana na hivyo wananchi nanyi vimbeni mashabiki wa USM Alger nao kichwa kinawauma kuhusu ukuta wa Yanga.
Kwa uelewa wako huwa unafahamuje maana ya "Potential/Key Player"?Ukiwaombea wewe inatosha Mkuu si wengine ni watazamaji tu.
Huyo Aucho replacement yake si ipo?
Mnasifika kwa kikosi kipana, sioni sababu ya kupata wasiwasi kukosekana mchezaji mmoja
UTo wakitoboa mniite mbwaKila nikifunga macho yangu sioni chochote kabisa ila ninaomba tu timu yetu.
Wawe makini Na mipira ya juu maana USM Alger ni wazuri zaidi kwenye mipira ya juu
Jinsi ya kucheza Na watu kama Hawa ni wakuwaweka pression kubwa langoni kwao kwa mpira wa kasi ili wasipate nafasi ya kupanda juu kuja kushambulia kwa wingi
Yanga wanacheza mpira mzuri zaidi ya USM Alger yanga wana wachezaji wenye kasi kubwa saana zaidi ya USM Alger
Umetumia nini kuwapima?USM ALGER ni sawa tu na Rivers ushindi nje nje
Comparison yako iko sahihi kabisa, mengine labda wajichanganye wenyewe kuingia kwenye mfumo.USM ALGER ni sawa tu na Rivers ushindi nje nje
Hilo halina ubishi, ila mpira ni mpira tu hasa kwenye hatua hii chochote kinaweza kupatikanaNimepitia kidogo kupima upepo kwenye page ya USM Alger mashabiki wao wanasema Yanga INA ukuta mgumu sana na hivyo wananchi nanyi vimbeni mashabiki wa USM Alger nao kichwa kinawauma kuhusu ukuta wa Yanga.