Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watafungwa tu. Maana Yanga wanacheza mpira wa chini zaidi.Kila nikifunga macho yangu sioni chochote kabisa ila ninaomba tu timu yetu.
Wawe makini Na mipira ya juu maana USM Alger ni wazuri zaidi kwenye mipira ya juu
Jinsi ya kucheza Na watu kama Hawa ni wakuwaweka pression kubwa langoni kwao kwa mpira wa kasi ili wasipate nafasi ya kupanda juu kuja kushambulia kwa wingi
Yanga wanacheza mpira mzuri zaidi ya USM Alger yanga wana wachezaji wenye kasi kubwa saana zaidi ya USM Alger
ThermometerUmetumia nini kuwapima?
Sio kukuita bali tutakypeleka mafinga ukaliwe supuUTo wakitoboa mniite mbwa
Nimekaaa palee..Sio kukuita bali tutakypeleka mafinga ukaliwe supu
Watu wameamua kufa kike leoSio kukuita bali tutakypeleka mafinga ukaliwe supu
Kinachofanya kazi ni mbinu. Unacheza mpira mzuri wakati shots on target ni 4-6Kila nikifunga macho yangu sioni chochote kabisa ila ninaomba tu timu yetu.
Wawe makini Na mipira ya juu maana USM Alger ni wazuri zaidi kwenye mipira ya juu
Jinsi ya kucheza Na watu kama Hawa ni wakuwaweka pression kubwa langoni kwao kwa mpira wa kasi ili wasipate nafasi ya kupanda juu kuja kushambulia kwa wingi
Yanga wanacheza mpira mzuri zaidi ya USM Alger yanga wana wachezaji wenye kasi kubwa saana zaidi ya USM Alger
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] etiiiii???Watafungwa tu. Maana Yanga wanacheza mpira wa chini zaidi.
Kwani timu ilocheza na Mazembe ikawapiga nje ndani si ipo? chezesheni hiyoyo mkuu, mkiambiwa mlikutana na mlolongo wa mitimu mibovu hamuelewi, wale ni nusu tu sasa ya wale top 5 wa kule champions league.Nina wasiwasi sana na nafasi ya Aucho, tuwaombelee Yanga watembee bahati/nyota/upepo wabebe ubingwa wa CAFCCL 2023 na kuiheshimisha TZ.
Mungu ibariki Young Africans, Mungu ibariki Tanzania.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app