Maoni yangu: Mbwana Samatta ndiyo basi tena

Atapata Timu Nyingine Nzuri
Ligi Kuu Zozote Duniani
 
Kwenye Afya kuna hospitali 67 na vituo vya Afya 330+ vipya.
Shula kongwe zote zimerudishiwa upya wake
Fly over kila kona
Meli mpya
....
Niendelee Ama nisiendelee
Endelea mkuu, huku kwetu mimaji kila kona hadi raha wakati kipindi haitawali ccm hali ilikuwa mbaya, maviongozi kabla 2015 yalikuwa yanazingua sana, natamani Magu awapeleke jela tu
 
Umeme wa REA, ujenzi wa ikulu pia nilisahau
 
Kwenye Afya kuna hospitali 67 na vituo vya Afya 330+ vipya.
Shula kongwe zote zimerudishiwa upya wake
Fly over kila kona
Meli mpya
....
Niendelee Ama nisiendelee
Corona imerudi china usisahau
 
Hili jukwaa la michezo siasa ina jukwaa lake ndio maana kuna watu tunatofautiana jukwaa la siasa lakini huku tupo pamoja
 
Kuna watu ni wachaw kweli dunian hapa hata hawahitaj kuruka na nyungo

Kwan Aston Villa kashuka daraja au anapigana asishuke n kwa hesabu tu anaweza asishuke
 
Sammata tayri ana 30
Ashafikisha miaka 39 we huon ngozi ishaanza kukauka
images (3).jpeg
 
Kuna watu ni wachaw kweli dunian hapa hata hawahitaj kuruka na nyungo

Kwan Aston Villa kashuka daraja au anapigana asishuke n kwa hesabu tu anaweza asishuke
Sio ligi ya TFF ile, lazima washuke
 
Back
Top Bottom