Maoni yangu mechi ya United vs Wolves

Maoni yangu mechi ya United vs Wolves

Matanga

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2019
Posts
2,281
Reaction score
3,976
[emoji1621] Machache toka OT ( Manchester United V Wolves )

[emoji736] Fred ni mdhaifu sana katika ukabaji kuna wakati mipira ambayo yeye alipaswa kuizuia tangu juu alikuwa anafeli na kufanya mipira mingi kufika katika zone ya Manchester United ( Hapa ndio kuna uhitaji wa kurejea kwa Scot ambaye kazi ya kukaba anaiitimiza vyema kuliko Fred )[emoji375]

[emoji736]Kwa mara ya Kwanza Jana Manchester United wamecheza dhidi ya Wolves bila pressure huku wakitawala mchezo kwa 60%+ kwa kila kipindi cha mchezo. Pongezi katika hili...[emoji1547][emoji1547]

[emoji736]AWB mzuri sana katika kujilinda lakini anashindwa kabisa kuattack kwa namna nyingine Manchester United wanashindwa kunufaika na uwepo wa jamaa hususani in offensive case na hapa ndio kuna uhitajika wa Dalot ambaye kwa kiasi kikubwa ni mzuri walau kwote kwa 70% naamini kwa game ambazo Manchester United wanatawala mpira kwa 60%+ ni bora ukaongeza watu wa kuattack..[emoji375]

[emoji736] Bruno [emoji1621] Mchezo wa kwanza tu anaonyesha kitu ambacho United lacks nacho ni shooting wanapofika near opponents box. 5 shoots kwenye mchezo mzima lakini pia naona anaongeza wale piece takers ( Fred + Bruno + Mata ) Bruno accurate yake ipo juu katika pieces....Lakini why Jana olle alimchezesha chini.....[emoji848]

[emoji736]Moutinho mchezaji bora wa mchezo kwa upande wangu......

JUMAPILI NJEMA KWENU NYOTE[emoji1666][emoji1666]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fred siyo mzuri kwenye ukabaji na majukumu aliyopewa dhidi ya Wolves ilikuwa kwa kuwa hakukuwa na mchezaji mwingine wa kucheza deep inside kama DM. Kumbuka McTominay ni majeruhi na Matic ana Umeme.

Kuhusu Dalot inaeleweka kwa yeyote anayejua mpira. Angalia hata dakika chache za mwisho alizoingia kama LW. Tatizo la Ole anataka wachezaji wenye mbio kupita wapinzani na hata mazoezini hicho ndicho kikubwa hufanyika (kukimbia).

Ukiangalia game game hii utaona upande wa kulia wa United wote ulikufa. RB na LW wote hakuna anyeweza dribble na kufanya crossing. Wote Bissaka na James ni mbio tu kwenye counters.

Kwa mtindo huo unapocheza na timu zenye full backs wazuri au nidhamu katika ulinzi wa pembeni ni ngumu kuingiza mipira ya hatari kwenye 18/ya mpinzani kutokea pembeni.

Hiyo ndiyo sababu utaona United anapata shida anapokutana na timu za kawaida (ambazo hujilinda sana) lakini anaweza pata matokeo kwa timu kubwa ambazo kimsingi full backs wao huwa na majukumu ya kushambulia kuliko kulinda (ulinzi kwa sehemu kubwa hufanywa na CD na DM na hivyo kuwaacha full backs huru kupanda).

Kwa mbinu hizi za Ole nategemea United kuendelea kuwa timu ya Europa kama Sevilla na Astenal.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umemaliza kla kitu mkuu!!!!![emoji1][emoji1][emoji2][emoji2][emoji3][emoji23]

Back
Top Bottom