Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 12,699
- 22,598
Nimekuwa nikitafakari juu ya siasa za uchaguzi wa 2020. Kwa maoni yangu, ikiwa CCM watashinda viti vingi vya ubunge, na Dr. Tulia Ackson akashinda ubunge kule Mbeya, basi atakuwa ndio Spika badala ya Ndugai. Hilo Ndugai anapaswa kuliona wazi na kulielewa. Huenda likamsaidia katika kuwa fair kwa watu wote Bungeni kwa sasa, ili asije akajikuta mpweke wakati sio Spika tena. Mpanda juu hushuka.