Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,296
- 3,398
MAONI YANGU JUU YA AUDIO CLIP YA MANARA ni kama ifuatavyo
Regardless kama tuhuma anazotuhumu Manara kwamba kufedheheshwa, kunyanyaswa and the like ni za kweli au la! Kitendo alichokifanya cha kuleta claim yake dhidi ya boss wake tena top top boss ,wa watumishi katika taasis /klabu ya simba ,tenatkatika public , tena katika wakati huu ni very unethical and unproffesional hasa kwa taasis kubwa kama simba anayohudumu na hasa pia kwa mtu wa kariba yake, ninachokiona anataka kuwin sympathy ya wanasimba.
Swala hili ni la kiungozi na hakupaswa kulileta katika media /public, kwa maoni yangu alipaswa alimalize ndani ya uongozi, hasa ukizingatia kuwa ana mahusiano mazur na MO. Alikuwa ana faida ya ziada ya kuweza kulalamika na kusikilizwa
Ambacho nimegundua watu wengi wapo emotional sana juu ya swala hili, they dont think and judge rationale, hapa nazungumzia profesionalism guys, tusirelate na mangap haji kaifanyia simba na jinsi gan ana mchango katika taasis,weled katika kazi ni lazima ufuate.
Muhimu la kujifunza ni kuwa 'KUDAI HAKI BILA YA KUFUATA UTARATIBU NI FUJO '
Binafsi sitegemei Barbara aje amjibu Haji katika public, ni imani yangu profesionalism yake itazungumza japo la kiofisi litamalizwa kiofis kwa taratibu za kiofis, period
the great K.