Maoni yangu sakata la Manara na Barbara

Maoni yangu sakata la Manara na Barbara

huyo Manara baada ya mechi ya Kigoma ajiandae kuitwa kwenye kikao cha nidhamu na maadili.
 
Manara kazingua Sana na Hili lote linasababishwa na MO kumlea Sana Yule Tokea atukane waandishi wa habar za michezo alitakiwa afukuzwe siku zile zile juzi tu kamzalilisha dada wa clouds FM
 
Back
Top Bottom