Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 62,197 Reaction score 128,160 Jul 22, 2021 #21 huyo Manara baada ya mechi ya Kigoma ajiandae kuitwa kwenye kikao cha nidhamu na maadili.
Mwambwaro JF-Expert Member Joined Jan 26, 2018 Posts 3,309 Reaction score 3,522 Jul 22, 2021 #22 Manara kazingua Sana na Hili lote linasababishwa na MO kumlea Sana Yule Tokea atukane waandishi wa habar za michezo alitakiwa afukuzwe siku zile zile juzi tu kamzalilisha dada wa clouds FM
Manara kazingua Sana na Hili lote linasababishwa na MO kumlea Sana Yule Tokea atukane waandishi wa habar za michezo alitakiwa afukuzwe siku zile zile juzi tu kamzalilisha dada wa clouds FM