Nas Mapesa
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 5,286
- 5,421
Hata mimi niliona kama ulivyoona lkn lazima ujue kuwa RUSHWA ndo inaiangusha Africa karibu ktk nyanja zote, hasa pale mchezaji wa simba aliposhika mpira mbele ya refarii ili usimfikie adui ambaye angefunga goli la kusawazisha ilitakiwa atoe RED na penalty lkn wapi?
Kwa tff hii ya Malinzi na Kaburu wake hilo sahau.....
Kwa tff hii ya Malinzi na Kaburu wake hilo sahau.....
Kwa kipi ambacho kinaonesha rushwa ama leo undo mean a kuangalia mechi . MI nimeona ni human errors tatizo ni mpira Wa kusimuliwa undo unatusumbua humu.Simba kadominate from da beginning hadi anapata goal. Watu walijua Simba itakosa kwenye tatu bora henceforth inawauma sana
Halafu siku hizi baada ya kugundua kuwa pale tifu tifu anavurunda ameamua kuhama jukwaa, yupo facebook na watoto wanadanganyana.....Malinzi amefanya kosa kubwa kumweka kaburu tff..malinzi anadharrka vibaya
Mechi yenyewe ya mgambo na yanga aliiona au umesimuliwa tu!!! Unaweza kunikumbusha tukio moja ambalo lilitokea kwenye ile game ambalo lilitia mashaka kuhusiana na maamuzi ya refarii!?kama ni kuchunguza waanzie me hi ya kwanza ya Yanga dhidi ya JKT Mgambo ilyochezwa Uwanja Wa Taifa
kama ni kuchunguza waanzie me hi ya kwanza ya Yanga dhidi ya JKT Mgambo ilyochezwa Uwanja Wa Taifa