Maoni yangu: TFF chunguzeni mechi ya Simba na Kagera

Maoni yangu: TFF chunguzeni mechi ya Simba na Kagera

Ndo mana huwa sifatilii mpira wa bongo maana kuna vichefu chefu mnoo
 
mbona hujasemea faulu aliyofanyiwa Okwi kwa kipiqwa teke ya tumboni bila onto la aina yoyote......

mbona hukuongea chochote kwa vitendo vya rushwa vilivyofanywa na viongozi wa Yanga huko Mbeya kwa kurubuni wachezaji wa Prison na Mbeya City............

Acha kutapatapa.......Simba iko makini hutaiweza kwa fitina zako.
 
Marefa mpaka world cup walikataa mabao dhahiri mfano goli la Lampard WC 2010.Itakua penati?Human error ni jambo la kawaida.Tunaona EPL red card anappewa mchezaji asiyestahili we unadhani marefa wanapenda?Acheni mahaba ya kijinga kukosea kupo.
 
Kama heading ilivyo naomba uongozi wa TFF na wadau wote wa soka wachunguze mechi ya Simba na Kagera iliyopigwa Shinyanga.

Binafsi nimechukizwa na mwamuzi wa mchezo huo kwa kuonesha upendeleo wa wazi kwa timu ya Simba, mfano ile penati ambayo mpira ulifuata mkono na hakukua na kusudio lolote la beki

Tukiacha hilo goli la refa dakika za mwishoni kama sikosei Isihaka alichukua mpira kwa mikono zaidi ya ile ya beki wa Kagera refarii akaacha.

Kiukweli haya ndio mambo yanayorudisha nyuma soka letu, huyu refa anastahili adhabu kali sana.

Funika kope.. Mnyama nipiteeee
 
TFF hawana muda wa kufanya ujinga kama huo, maana hata FIFA imewachoka nyie.
 
wachezaji wa Coastal hawampendi julio, wamefanya makusudi baada ya kocha wao mkenya kuondoka sababu ya julio
 
tutolee ujinga wako, wanyang'anye pointi basi! Huna hoja za msingi umbea tu! Isiaka mikono ilikuwa mbele kabisa na mpira ulikuwa kwenye miguu kabisa na aligeuka kwa kutambaa huku mpira ukiwa kwenye miguu!

Jitu zima hovyo!
 
baada ya kuwaandama kucheza dk 100 kila game marefarii wameamua kuja na mbinu mpya kuibeba mikia
 
tutolee ujinga wako, wanyang'anye pointi basi! Huna hoja za msingi umbea tu! Isiaka mikono ilikuwa mbele kabisa na mpira ulikuwa kwenye miguu kabisa na aligeuka kwa kutambaa huku mpira ukiwa kwenye miguu!

Jitu zima hovyo!

Hawa wakurupukaji itabidi tuwazoee tu, dawa yao tuwafunge tena ili wakate rufaa ya kuchoka kuwa Mateja ya Simba.
 
Back
Top Bottom