wake wanalalamika kuongezewa make mweza. Wanataka wabaki wao tu wafaidi Mme!
Ingieni mchezeshe. Kama mmepata uchungu nendeni Muhimbili wodi ya wazazi mkazalishwe.
Hiv nduguzangu nyie bado mnaangalia mpira vumbi huu wa bongo?mtakufa na presur wakuu
Mechi yenyewe ya mgambo na yanga aliiona au umesimuliwa tu!!! Unaweza kunikumbusha tukio moja ambalo lilitokea kwenye ile game ambalo lilitia mashaka kuhusiana na maamuzi ya refarii!?
Je, ni nani leo asiyejua kama kagera suger wamechinjiwa baharini na yule refa wa kaburu!!! Mchezaji amekumbatia mpira kwa mikono kama anacheza rugby halafu refarii anapeta!?
Kwa style hii ya marefa wetu tanzania tutakuwa kichwa cha mwenda wazimu hata dunia ikianza tena.....
Na ndio maana sisi wenzako tunailalamikia tff kwa uzembe kama huo, kelvin yondan na yule refa wa jana wote wawajibishwe.Kelvin Yondani kumpiga kiwiko kwa makusudi striker Wa Mgambo
Kiukweli Mimi sishabikii sana mpira wa bongo ila Jana nimeshangazwa na mambo mengi sana, kwanza wachezaji wa bongo hawana nidhamu mfano mechi hiyo sa Jana wachezaji wa simba wanacheza faulo alafu wanawazonga zongo wachezaji wa kagera bila sababu za msingi na mwamuzi anasukumwa hata hafanyi lolote! Kulikuwa na mlolongo wa wachezaj wa simba kucheza rafu za kijinga na kupoteza muda bila maamuzi ya maana, yaani kwa kifupi Tanzania hakutakuwa na maendeleo yoyote ya kisoka kwa mwenendo ule yaani ni aibu kubwa sana kuangalia maamuzi ya mwamuz mechi ya jana
Mleta uzi ungekuwa mzalendo kweli na unayejua soka kweli ungeanzia na ile mechi ya Yanga na Kagera Sugar uwanja wa Taifa, tuambie uhalali wa ile penati ambayo hata Sports Bar ya clouds tv walionyesha tukio zima si chini ya mara 3.Usidhani watu wamekaa kimya hawayaoni yatokeayo mechi za Yanga ni kwamba Yanga wamezoeleka.
Mleta uzi ungekuwa mzalendo kweli na unayejua soka kweli ungeanzia na ile mechi ya Yanga na Kagera Sugar uwanja wa Taifa, tuambie uhalali wa ile penati ambayo hata Sports Bar ya clouds tv walionyesha tukio zima si chini ya mara 3.Usidhani watu wamekaa kimya hawayaoni yatokeayo mechi za Yanga ni kwamba Yanga wamezoeleka.
uishie huko bush na ulawyer wako make wee umeona jinsi Simba walivyofanya faulo hukuona walivyofanyiwa, mfano Okwinho alivyopigwa teke LA tumboni hukuona wewe na refa wako! Nashauri ulawyer uishie huko bush
tff wameshimdwa kupambanua sheria ya kadi ya njano watamchunguza refa hawana ubavu huo
Yaani naona aibu hata kukujibu, sasa ndio umeandika nini hapa we mpuuzi. unatoa povu badala ya kujenga hoja. hakutakuwa na maendeleo ya soka kwa style hii ya mechi za ligi kuu kuwa kama za mchangani, ni aibu sana
Wewe inaelekea unaichukia tu Simba. Sijui kama uliuangalia ule mchezo?! Sisi tulioangalia runinga tuliona wazi (hasa kwenye replay) beki wa Kagera Sugar aliunawa mpira, na adhabu yake ni penalty! Kwenye replay pia tuliona kuwa Hassan Isihaka hakunawa, ingawa kwenye action ilionekana kama amenawa ndio maana wachezaji wa Kagera Sugar walinyanyua mikono juu. Mchezo ule utaoneshwa tena kwenye Azam TV leo usiku, angalia vizuri na ukome kumpakazia mwamuzi.