Maoni yangu: Wanaume wenye vipara wako vizuri kitandani

Maoni yangu: Wanaume wenye vipara wako vizuri kitandani

Wewe wa kike umepatwa na wivu mimi kuwaza kupelekewa moto...hatari hii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaaa had mbavu zinaumaa, JF sihami akhiii.
 
Vipara na vinyweleo vingi mwilini ni ishara ya uwepo wa kiwango kikubwa cha testosterone mwilini hormone ya kiume.

Kwahiyo wewe kuvutiwa na mwanaume mwenye upara na ndevu nyingi ni natural phenomena ya kibaiolojia na ni kawaida sana.
Nyie mbona mnachanganya madesaaa woiiiih
 
Em fafanua hapa Dr.
Ukiwa na testosterone nyingi
Utakua na hairly body
Then baadae utaanza kupata baldness haraka
Ndio maana wengi wenye beards badae hupata upara

Wanawake wana testo kiasi kidogo ndo mana wabibi wengi wanazeeka bila kipara
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaa had nimejistukiaaa, woiiiiih
Hatari sana, kuna features nyingine zinataka uwe na hela, kama vile kuwa na kitambi wakati unapigika
 
Back
Top Bottom