Maoni yangu ya man city vs Chelsea

Maoni yangu ya man city vs Chelsea

Ni rahisi sana kwetu sisi kumkimbiza Chelsea na Leicester kuliko Man city.

Kama game ya kesho tutashinda na uhakika mpaka December mwishoni tutakuwa shoulder to shoulder na Leicester pamoja na Chelsea.
Kabisa mkuu
 
Hongereni kwa kupunguza gape jana [emoji16][emoji16][emoji16]

Back
Top Bottom