Maoni yangu

Mwanamke kutongozwa mbona jambo la kawaida. Unafikiria sana kama humtaki mwambie aambae zake


Hapa nilipo ninasubiri majibu kwa.
Amehlo na Numbisa

Nina show kali ya kuvunja chaga na Nakadori

Kuna haka katoto ka mbeya To yeye huwa kanadai hakapendi wanaume weupe eti tumepoa ila nataka nimuonyeshe kuwa asubuhi after breakfast nakuwa wa moto

oh bila kumsahau Dejane huyu hatak vibamia ila cha kwangu atakitaka


Life is too short to worry about stupid things sijawah dhania kuna watu wanapata stress JF. Hii ndio sehem ya kutolea stress sio kupata stress 😩
 
Me mwenyewe mwanaume mweupe wa nini sasa 😀😀naungana na udugu wangu To yeye
 
Me mwenyewe mwanaume mweupe wa nini sasa 😀😀naungana na udugu wangu To yeye
Unique Flower niko single nimeachwa mchana kweupe na Amehlo

Unajua huu weupe uko sehemu za kuonekana ila sehemu za gizani mbona ni nyeusi tiiii. Kuna mda naangaliaga hizi pumbuu zangu mpaka najiuliza ni za kwangu au nilibadilishiw hospitalini siku ya kuzaliwa😃
 
Yan huwezi kuzuia binadamu kusema anachokitaka nadhan maneno ya watu yasikuumize moyo kikubwa unajua nn unafanya.
 
Na una Na unavyonichamba sasa
Hahahaha nitakuwa nakula kichambo kwanza ndo sho ianze
Ila sio mbaya ngoja siku zisogee tulisogelee kaburi na uzee
 
Na una
Na unavyonichamba sasa
Hahahaha nitakuwa nakula kichambo kwanza ndo sho ianze
Ila sio mbaya ngoja siku zisogee tulisogelee kaburi na uzee
🤣🤣🤣🤣
Hiyo show lazima ambulance inakuw karibu maana siku hiyo nitakula vidonge viwili na napaka mkongo 😃 maana kimoja ndio jadi zangu nataka nijarib kuvunja records hata viwili
 
🤣🤣🤣🤣
Hiyo show lazima ambulance inakuw karibu maana siku hiyo nitakula vidonge viwili na napaka mkongo 😃 maana kimoja ndio jadi zangu nataka nijarib kuvunja records hata viwili
We faller utakufa shauri yako. Yale mavisonge yanaua yake we shauri yako
 
ATTENTION SEEKERS

Ukitoa post mtu anaona kuwa wewe unatafuta wanaume , attention na mengineyo.
Hii inakusuhu wewe mwenyewe hasa. Maana kuna vi topic vingine unavianzisha directly vimekaa ku seek attention.

Yote kwa yote kwa yote ni simu yako na bundle lako usitilie maanani sana. Huwezi ridhisha walimwengu wote.
 
Unataka uje uweke uzi kuwa wachaga hamana kitu hata lazima nimeze vya kutosha 🤣🤣🤣
Hahaha tatizo mnadhan nyuzi zangu ni za matukio ya kweli. Me saa ingine nawapiga kamba sema kwa mnavyopenda kudanganywa mnaamini.
 
Hahaha tatizo mnadhan nyuzi zangu ni za matukio ya kweli. Me saa ingine nawapiga kamba sema kwa mnavyopenda kudanganywa mnaamini.
Sasa unaweza kuwa umeandika halafu tukio lenyewe likaanzia kwangu

Kuna mda unaweza pata hela yako ukafurah halafu matatzo yakaanz kufatana 😃 kama unajiandikia matatizo vile
 
Kabisa mkuu......asiwaangalie watu wa humu....ajipe furaha tu
 
Maana ya JamiiForums:-
Jealous
Ass
Madafaka
Individual
In
Fake
One or
Randomly
Unhappy
Mentally
Sexuality
 
Mkuu soon utakuwa kwenye ignore list yangu. Sikuja JF kutafuta wanaume. Visingizio vya kindezi vya oooh usichukulie JF serious naonaga ni kujikosha kosha kutaka kuonekana jambo ni jokes wakati unamaanisha. Ni nyuzi nyingi nimekwepa huo unaouhisi utani the so called jambo la kawaida ila haukuweza kujiongeza so sad.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…