MC RAS PAROKO
JF-Expert Member
- Feb 14, 2013
- 623
- 606
Kwanza niwapongeze kwa ushirikiano wenu mnaouonesha katika kusaidiana kwa hilo nawapa kongole. Nianze kwa kusema mimi ni kijana wa kitanzania na nina uwezo wa kuandika mashairi ya kuhusiana na mada tofauti ila sijui wapi pa kuyapeleka ili yaweze kusomwa na watanzania walio wengi na waweze kuelewa lengo langu. Kwa mantiki hiyo naomba yeyote anayeweza kunipa msaada hata wa mawazo naamini jf kuna watu wengi walio na busara na uelewa mkubwa wa mambo.naombi wanajamvi msiniangushe. Naomba kuwasilisha.