Naombeni ushauri wenu jamaa...
Kuna mzigo umetumwa kutoka uingereza kupitia "ECO LINKS GLOBAL COURIER"..
Tatizo limekuja pale hao jamaa hawana
Office Mombasa...
Si mzigo umefika nairobi leo, jamaa wakapiga simu freshy na wakadaisha ksh10k ni ya kulipia then watau deliver huo mzigo hadi mombasa...kidogo kidogo wakapiga simu tena mara eti kwenye huo mzigo wame u scan kuna na wakati aliyetuma huo mzigo haku list km kuna hela za kigeni ndani ila but katika whatsapp alionyesha km kuna hela pia kaweka...
Kizazaa wale jamaa wamekuja juu sijui tena wanataka certificate ya money laundering na ni ksh20k...sasa sijui hawa jamaa wameona mwenye mzigo yuko mombasa ndio wanataka wampige hela za maana au nini..
Jamaa kemu nijuzeni kuhusina na hyo bei ya hyo certificate..manake ni balaa ju mzigo ukilala pia hela yaongezeka...
Nataka uhakika wa haya mambo tu..
View attachment 1209962