MAONI YENU

MAONI YENU

komora096

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2018
Posts
20,548
Reaction score
5,647
Nashukuru sana kw ushauri mlionipa..na pia tumejifunza mengi ..mtu kuweka kitu katika mzigo bila ya kukiweka kw list ni hatari..unaweza ukajiletea shida...bro ilkua anataka kuletea watu shida tu...
 

Attachments

  • 20190917_124747.jpeg
    20190917_124747.jpeg
    73.7 KB · Views: 21
Hawa jamaa kiukwel wanazengua kinoma...elfu ishirini ya certificate kwel,
Halafu hyo kampuni katumanisha yeye mkuu..kafanya kutoa taarifa tu baada ameshatuma kila kitu...

Jamaa wanataka hela tu
Next time use ebay, alibaba, aliexpess, amazon, DHL, PayPal stuff
 
Baba sepa unajua adhabu ya money laundering? Money laundering na terrorism r intertwined!
 
Hapo watakuwa wamependa huo mzigo uliotumiwa [emoji23][emoji23][emoji23] wanataka uogope ili wauchukue kiulaini.
Naombeni ushauri wenu jamaa...
Kuna mzigo umetumwa kutoka uingereza kupitia "ECO LINKS GLOBAL COURIER"..
Tatizo limekuja pale hao jamaa hawana
Office Mombasa...
Si mzigo umefika nairobi leo, jamaa wakapiga simu freshy na wakadaisha ksh10k ni ya kulipia then watau deliver huo mzigo hadi mombasa...kidogo kidogo wakapiga simu tena mara eti kwenye huo mzigo wame u scan kuna na wakati aliyetuma huo mzigo haku list km kuna hela za kigeni ndani ila but katika whatsapp alionyesha km kuna hela pia kaweka...

Kizazaa wale jamaa wamekuja juu sijui tena wanataka certificate ya money laundering na ni ksh20k...sasa sijui hawa jamaa wameona mwenye mzigo yuko mombasa ndio wanataka wampige hela za maana au nini..

Jamaa kemu nijuzeni kuhusina na hyo bei ya hyo certificate..manake ni balaa ju mzigo ukilala pia hela yaongezeka...
Nataka uhakika wa haya mambo tu..View attachment 1209962
 
Money laundering noma mkuu...
Lkn mzigo umeshakua cleared..kuna msela nairobi alienda ku deal nao hv jioni..ndio katoa taarifa hta si kitambo wakati nimeshafungua uzi tayari...
Yeye nmteja wao...so sijui walimalizanaje..lkn lazima nae ale yake + interest..
Baba sepa unajua adhabu ya money laundering? Money laundering na terrorism r intertwined!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom