Maono: 2026 ni mwaka mpya na wa kipekee kupokea na kukamilika kwa total system overhaul

Maono: 2026 ni mwaka mpya na wa kipekee kupokea na kukamilika kwa total system overhaul

Rabbon

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2022
Posts
25,937
Reaction score
41,161
Salaam!

Haya ni maono.

Nimmekuwa nikilisemea hili tangu May 2022, kwamba,

Year 2026 ni mwaka mpya, mwaka wa kipekee ambao, mfumo mzima wa kutawala ,na mifumo yote muhimu juu ya nchi yetu unakwenda kubadilika.

Ni mwaka ambao, Rasimu Ile ya Warioba kabla ya kuchakachhuliwa itarudishwa mezani.

Ni Katika mwaka huu 2026, zitafanyika reforms chache kwenye Rasimu Ile, Kisha nchi hatimaye itapata Katiba mpya, na kuanzia hapo Kila kitu kitabadilika.

Kuanzia mwaka huu muhimu, wananchi watafurahia utajiri na urithi wa nchi yao, watakunywa maziwa na asali.

Yatagunduliwa madini ambayo hayajawahi kuwepo popote duniani, na utajiri mkubwa utarudi kulineemesha Taifa .

Mifumo hii ovu ya waitwao wahuni itakuwa imetokomezwa kabisa.

Ni Katika mwaka huu, ndoto ya Mzee wetu Mpendwa nabii Warioba itatimia, ataiona siku njema ambayo wajukuu na vizazi mbele vijavyo vitafurahia matunda ya nchi yao.

Mh Pole Pole Katika press ya juzi amenukuliwa akisema:

Polepole: " Tukisha kamilisha na kuweka mambo sawa mwaka kesho, wote waliokuwa wakifanya ubaya kinyume na utaratibu watashughulikiwa ipasavyo"

Mungu anaipeenda sana nchi hii.

Na hayo yatafanikiwa kutokea kuanzia sasa Hadi mwaka huo 2026.

Tusubiri 🙏
 
Sio chini ya CCM hii manyonya damu.

Sio chini ya vyombo vya Ulinzi na Usalama hivi ambavyo haviangalii maslahi ya watu bali ya Wanasiasa wachache ili mikono yao iendelee kwenda kinywani.

Sio chini ya TISS hii ambayo wanachojua ni kuzuia Chadema wasifanye siasa sio masuala ya msingi kulifanya Taifa hili kuwa bora na imara kwa vizazi na vizazi.

Hii ni ndoto ya mchana.
 
Wingu lililotanda ni zaidi ya lile wingu la corona.

Subiri uone kwa macho yako.
 
Katiba mpya haiwezi kukamilika ndani ya miezi miwili.

Ni sasa kuanzia na kukamilika na kuanza kutumika soon 2026.
Mkuu Tundu alitoa option za kusogeza mbele chaguzi ili tupate katiba mpya ila watawala wameshupaza shingo, kama wanasema 2026 ni wanawaadaa tu ili uchaguzi upite ila awapo tayari
 
Back
Top Bottom