Mwande na Mndewa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2021
- 1,322
- 3,648
Where is TISS. Where is the elders/old men of this lovely country Tanganyikà to decide the better some and all benefits of ours ?Baada ya kuharibu kote huko, sasa anaelekea taratibu kutuharibia amani yetu. Amani ambayo kila siku hujidai kuilinda kwa nguvu zote.
Unaweza vipi kusema unailinda amani, huku mkimuacha Sheikh Mwaipopo atambulishe vikundi vya mbwa mwitu na chui weusi? Au walikuwepo tangu ugaidi wa Kibiti!?
Anataka kuiharibu kesho ya Tanganyika siku akiondoka atuache kwenye vita ya wenyewe kwa wenyewe, Mungu akamvike vazi la aibu,akamsete sete kama Mfalme wa Ashuru,hao mbwa mwitu na chui weusi anaowadhamini wakamrarue hata damu yake isifike ardhini kuchafua nchi yetu.
Huyu mjinga hata jina lake sitaki kuliandika hapa na kikundi chake cha kigaidi alitakiwa kuwa jela mda huu,Baada ya kuharibu kote huko, sasa anaelekea taratibu kutuharibia amani yetu. Amani ambayo kila siku hujidai kuilinda kwa nguvu zote.
Unaweza vipi kusema unailinda amani, huku mkimuacha Sheikh Mwaipopo atambulishe vikundi vya mbwa mwitu na chui weusi? Au walikuwepo tangu ugaidi wa Kibiti!?
Anataka kuiharibu kesho ya Tanganyika siku akiondoka atuache kwenye vita ya wenyewe kwa wenyewe, Mungu akamvike vazi la aibu,akamsete sete kama Mfalme wa Ashuru,hao mbwa mwitu na chui weusi anaowadhamini wakamrarue hata damu yake isifike ardhini kuchafua nchi yetu.
Quick fixes comes from 'PULPIT POLITICS'!Quick fixes.
Aibu kubwa sana kwa mamlaka aisee.Baada ya kuharibu kote huko, sasa anaelekea taratibu kutuharibia amani yetu. Amani ambayo kila siku hujidai kuilinda kwa nguvu zote.
Unaweza vipi kusema unailinda amani, huku mkimuacha Sheikh Mwaipopo atambulishe vikundi vya mbwa mwitu na chui weusi? Au walikuwepo tangu ugaidi wa Kibiti!?
Anataka kuiharibu kesho ya Tanganyika siku akiondoka atuache kwenye vita ya wenyewe kwa wenyewe, Mungu akamvike vazi la aibu,akamsete sete kama Mfalme wa Ashuru,hao mbwa mwitu na chui weusi anaowadhamini wakamrarue hata damu yake isifike ardhini kuchafua nchi yetu.
Za madudu yanayofanyiwa Tanganyika sio?Quick fixes.
Iwapo ameweza kufuga mbwa tena mwitu,bila shaka anafuga na pua ndefu anakula kabisa ama anawalisha mbwa anaowafuga!Kwa huyu shekhe mla nguruwe hutusikii vyombo vya ulinzi vikisema chcht khs yeye, Ndo tujue shekhe huyu malaya Ana mkono wa Samuya
Ww fikiria mtu anaweza kumiliki kikundi cha kigaidi kama hiko, n lazima kuwe na mkono wa mtu mkubwa serikaliniIwapo ameweza kufuga mbwa tena mwitu,bila shaka anafuga na pua ndefu anakula kabisa ama anawalisha mbwa anaowafuga!
Tatizo lingine kubwa sio yeye tu.Baada ya kuharibu kote huko, sasa anaelekea taratibu kutuharibia amani yetu. Amani ambayo kila siku hujidai kuilinda kwa nguvu zote.
Unaweza vipi kusema unailinda amani, huku mkimuacha Sheikh Mwaipopo atambulishe vikundi vya mbwa mwitu na chui weusi? Au walikuwepo tangu ugaidi wa Kibiti!?
Anataka kuiharibu kesho ya Tanganyika siku akiondoka atuache kwenye vita ya wenyewe kwa wenyewe, Mungu akamvike vazi la aibu,akamsete sete kama Mfalme wa Ashuru,hao mbwa mwitu na chui weusi anaowadhamini wakamrarue hata damu yake isifike ardhini kuchafua nchi yetu.
Sio kumiliki, wamiliki wapo wengi, ila yeye anapata na nguvu tena bila soni/aibu anatoka hadharani kutambulisha. Na hajawahi kuitwa mahala popote kutoa maelezo.Ww fikiria mtu anaweza kumiliki kikundi cha kigaidi kama hiko, n lazima kuwe na mkono wa mtu mkubwa serikalini
Katika mazingira hayo kipo bora kuhofu ama kukata mzizi wa tatizo?Tatizo lingine kubwa sio yeye tu.
Ni wanufaika, wafanyabiashara, madalali, wezi na wote wanaofaidi mema na rasilimali za Tanganyika pia wana CCM wenzetu. Kati ya hao wengine Hawana hasara. Wana mabilioni ya kuhama Nchi kikinuka.
Ila wengine ni makapuku tu mashabiki ambao kikinuka tutabanana tu hapahapa.
Tukumbuke Zimbabwe mashabiki wa Mugabe walivyomjaza upepo, mpaka afya yake ikawa hoi.